Video: Hivi huyu ni mtangazaji au ni nini?

Dunia simama nishuke.... 😂
 
Kuna vitu(drugs) atakuwa anatumia pamoja na kuharibiwa kisaikolojia mahali.

Ila kwa watangazaji yule Mwana Unique wa RFA ni total bullcrap!!!.....anakinaisha mno.
Jinsia gani na anatangaza kipindi gani?
 
Jinsia gani na anatangaza kipindi gani?
Ni manzi, kipindi chake ni saa nane yupo na msela. Afadhali ya msela ila huyo K anayeyusha sana. Kitu pekee kinachonipeleka RFA ni DW ya saa saba, baada ya hapo nikijisahahu hadi hicho kipindi kikianza huyo Mwana Unique ndiye ananikumbusha kubadili station au kuzima redio.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Nishampata huyo anapenda kuitikia Owwkeiiiii,anaboa sana,na kingereza uchwara
 
Bangi inasingiziwa hapa! Huyu kala ugoro, kvant na mataputapu ya kienyeji either kidugugu, mbege, komoni au gongo..
......Mimi ni DJ, nlkua kwenye kipindi flani cha redio cha burudani nmepangiwa na mdada ana swagga za kiseng* za kukaribiana na huyu pisichoko, Ilinibidi nifanye kila jitahida niwe replaced na DJ mwingine kwenye hicho kipindi make alikua ananikera sana, Sipendi pisichoko zenye swagga za kinyodonyodo..
 
Mgoro sio mzuri aisee
Bora bangi ila sio ugoro mkuu, Bangi kwa huyu wanampaisha hana kichwa cha kula bangi...
....Huoni hata meno yake na mdomo wa huyo mdada yanaonekana ya kubwia ugoro kabisa..
 
Bora bangi ila sio ugoro mkuu, Bangi kwa huyu wanampaisha hana kichwa cha kula bangi...
....Huoni hata meno yake na mdomo wa huyo mdada yanaonekana ya kubwia ugoro kabisa..
Bangi asingekuwa hivyo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…