Video: Hivi huyu ni mtangazaji au ni nini?

Kumbe na wewe ulikiangali mkuu! Ilikuwa ni wiki hii hii inayoelekea ukingoni, nami nilishika remote kubadili Chanel nikaweka EATV nikakutana naye yuko hivyo nilishangaa sana hata sikuendelea kubadili nilizima na kuondoka kabisa.
 
Mbona kawaida tu. Hatari kitu gani sasa? Umekuja Bongo jana nn?
 
Media zimevamiwa ulikuwa hulijui hilo

Ova
 
Hicho kipindi kinaruka saa nane usiku? unaweza kukuta UFO huwa wanapewa fursa kwenda hewani.
 
Reactions: 30P
huwa nakaonaa EATV nasema hiiiiiiiiiiiiii hakajawai kuliwa kimasiharaa na ndg zangu wa JF
 
atakuwa anamuiga yule nickminaj akiwa anaimba au atakuwa anamuiga ariana grande akiwa anaimba.

ila alichofanya yeye anafanya kwenye real life ndio maana anakuwa kama kituko considering she's super short but still beautful.
 
Mumuache mtoto wa watu anatafuta ugali.

Bongo ili uweze kuishi lazima ujitoe akili. Angalia kina Kabudi na Mwakyembe ndio utajua huyo dogo sio chizi.
 
Faiza haider ndo alikua anakiweza sana hiko kipindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…