Where is the evidence especially if the Russians only target civilian infrastructure and have so far not captured any significant city in Ukraine, have massacred both women and children and have looted several food supermarkets upon going rampant with hunger.
Independent media outlets.leta source
Huna hoja, waleta porojo za kwenye vijiwe vya ghahawa.Putin anajutia hadi balaa, sheikh, na tayari wanajeshi wake wameanza kuiba chakula, njaa inawatesa.....
Wazee wa makanzi wenzio wamepiga kimya wote.
No need. Hamtachelea kupinga hiyo source.leta source
Mkuu nenda telegram upate habari moto zisizo chujwa.achana na huu utopolo wa propagannda za kimagharibi.mwenzako Zelensky anaomba poo .serikali ya Kiev inaanguka muda si mrefu.
Aliingizwa chaka na USA
Vp Marekani na allies wake walitumia siku ngapi kuingusha Talebani, Sadam Hussein na Gadafi? Vipi marekani amesha muondoa Assad pale Syria?Nilitegemea serikali yake kuanguka baada ya siku tatu za Mrusi, siku zote nilijua Mrusi ni hatari sana, nilimuona kama level moja na Marekani, kumbe ni bonge la dhaifu, bure kabisa.
Vp Marekani na allies wake walitumia siku ngapi kuingusha Talebani, Sadam Hussein na Gadafi? Vipi marekani amesha muondoa Assad pale Syria?
Hollywood at its best[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.
Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.
Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenya manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.
Acha fikra hizo kaka,wanajeshi wanatembea kwa raman mkuu,Halafu mabango ya barabarani yamepotoshwa, hivyo hajui hata pakutokea...
Kuna kipindi tuliambiwa majenerali 8...... Yeah [emoji106] ni kweli kwa sababu Russia wameshakata tamaa kwani waliingizwa chaka na Putin kwa kuambiwa kazi ilikuwa ni ya siku mbili tu na sasa mwisho wake haujulikani na wapiganaji zaidi ya 12,000 wameshapoteza maisha wakiwemo majenerali watatu na vifaa kibao.
Acha fikra hizo kaka,wanajeshi wanatembea kwa raman mkuu,
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Majenerali waliokwisha kufa hadi sasa ni wanne kwani mwingine kafa juzi somebody Oleg yeye ndiye kamanda aliyekiteka kisiwa cha Crimea mwaka 2014.Kuna kipindi tuliambiwa majenerali 8.
Kumbe ni kweli wanafufuka.
du kwa maana hiyo unataka kutuambia kuwa mrusi ameshindwa vita,kwa sababu ya hizo drones au siyo,na vifaru vyake vinaangamizwa?Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.
Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.
Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenya manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.
du kwa maana hiyo unataka kutuambia kuwa mrusi ameshindwa vita,kwa sababu ya hizo drones au siyo,na vifaru vyake vinaangamizwa?
Russian propaganda.Wamekatungua................hakuna mkate mgumu kwa chaiView attachment 2154049View attachment 2154050View attachment 2154051View attachment 2154052
Kila mtu ashinde mechi zake.....rudini bbc tu......sie mwendo wa rt na sputnikRussian propaganda.
BBC wako makini sana, wanaripoti bila upendeleo, we endelea na vyombo vya propaganda za warusi.Kila mtu ashinde mechi zake.....rudini bbc tu......sie mwendo wa rt na sputnik