Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hawajaombwa...........sie tunafatilia vile vyombo walivyoviogopa hadi kuvifungia.....matango pori mlishane wenyeweBBC wako makini sana, wanaripoti bila upendeleo, we endelea na vyombo vya propaganda za warusi.View attachment 2154165
Naona hiyo taarifa ya BBC imekufurahisha sana mrusi wa Buza ,[emoji38][emoji38]Hawajaombwa...........sie tunafatilia vile vyombo walivyoviogopa hadi kuvifungia.....matango pori mlishane wenyewe
Bbc ndo kitu gani? Sijaona kitu kwani umepost nn mnato wa kwa mpalangeNaona hiyo taarifa ya BBC imekufurahisha sana mrusi wa Buza ,[emoji38][emoji38]
Ndo jinsi mnavyokuwa, mnajifanyaga kama hamuoni pindi BBC wakipost habari kama hizo.Bbc ndo kitu gani? Sijaona kitu kwani umepost nn mnato wa kwa mpalange
Kwani tunalazimishwa? Nyie si ndo vinara wa demokrasia kwani nalazimishwa kuzikubali habari za hao? Kila mtu ashinde mechi zakeNdo jinsi mnavyokuwa, mnajifanyaga kama hamuoni pindi BBC wakipost habari kama hizo.
Hakuna habari uliyolazimishwa kuikubari hapaKwani tunalazimishwa? Nyie si ndo vinara wa demokrasia kwani nalazimishwa kuzikubali habari za hao? Kila mtu ashinde mechi zake
Sasa povu vipiHakuna habari uliyolazimishwa kuikubari hapa
Unafurahii[emoji1787][emoji1787][emoji91]Sasa povu vipi
Mimi nafurahishwa na hizi...........ndo maana wanaogopa kuingia vitani maana hadi makamanda nao ni mashoga tuUnafurahii[emoji1787][emoji1787][emoji91]View attachment 2154392
Zele pekee anawatoa kamasi[emoji38][emoji38][emoji38]Mimi nafurahishwa na hizi...........ndo maana wanaogopa kuingia vitani maana hadi makamanda nao ni mashoga tuView attachment 2154398
Kujua kwani mnafanya siri? Na hizo nyie mnato si ndo ajenda zenu kuu ...kulazimisha watu wawe mashoga na kuuhalalisha kabisa kwani hio bbc yako haijakuhamasisha na hayo mambo? Maana ndo zinakuaga ni habari kubwa sana huko.....Zele pekee anawatoa kamasi[emoji38][emoji38][emoji38]
Umejuaje ni mashoga?! Ok hata hivyo waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba, na mashoga vilevile wanajuana [emoji1787][emoji1787]
Naona unafuatilia sana habari za ushoga yaani tu kama mwanamichezo anavyofuatilia habari za michezo [emoji2][emoji2]Kujua kwani mnafanya siri? Na hizo nyie mnato si ndo ajenda zenu kuu ...kulazimisha watu wawe mashoga na kuuhalalisha kabisa kwani hio bbc yako haijakuhamasisha na hayo mambo? Maana ndo zinakuaga ni habari kubwa sana huko.....View attachment 2154415View attachment 2154416View attachment 2154418View attachment 2154419View attachment 2154420
Media zenu tena ndo zinafanya hivi.........hivi nyie ni binadamu wenzetu au ni viumbe wa sayari nyingineNaona unafuatilia sana habari za ushoga yaani tu kama mwanamichezo anavyofuatilia habari za michezo [emoji2][emoji2]
Mnajuana [emoji38][emoji38]Media zenu tena ndo zinafanya hivi.........hivi nyie ni binadamu wenzetu au ni viumbe wa sayari nyingine
Kwa msaada wa watu wa marekaniMnajuana [emoji38][emoji38]
Umaarufu ulipaaa zaidi kwenye mgogoro wa karabakJamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.
Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.
Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenya manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.
Kumbe! Mnajuana wenyewe.Kwa msaada wa watu wa marekani
Hadi alielike wote chama 1 kwa msaada........Kumbe! Mnajuana wenyewe.