Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

Hawajaombwa...........sie tunafatilia vile vyombo walivyoviogopa hadi kuvifungia.....matango pori mlishane wenyewe
Naona hiyo taarifa ya BBC imekufurahisha sana mrusi wa Buza ,[emoji38][emoji38]
 
Ndo jinsi mnavyokuwa, mnajifanyaga kama hamuoni pindi BBC wakipost habari kama hizo.
Kwani tunalazimishwa? Nyie si ndo vinara wa demokrasia kwani nalazimishwa kuzikubali habari za hao? Kila mtu ashinde mechi zake
 
Kwani tunalazimishwa? Nyie si ndo vinara wa demokrasia kwani nalazimishwa kuzikubali habari za hao? Kila mtu ashinde mechi zake
Hakuna habari uliyolazimishwa kuikubari hapa
 
Sasa povu vipi
Unafurahii[emoji1787][emoji1787][emoji91]
Screenshot_2022-03-17-16-11-49-37.jpg
 
Mimi nafurahishwa na hizi...........ndo maana wanaogopa kuingia vitani maana hadi makamanda nao ni mashoga tuView attachment 2154398
Zele pekee anawatoa kamasi[emoji38][emoji38][emoji38]

Umejuaje ni mashoga?! Ok hata hivyo waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba, na mashoga vilevile wanajuana [emoji1787][emoji1787]
 
Zele pekee anawatoa kamasi[emoji38][emoji38][emoji38]

Umejuaje ni mashoga?! Ok hata hivyo waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba, na mashoga vilevile wanajuana [emoji1787][emoji1787]
Kujua kwani mnafanya siri? Na hizo nyie mnato si ndo ajenda zenu kuu ...kulazimisha watu wawe mashoga na kuuhalalisha kabisa kwani hio bbc yako haijakuhamasisha na hayo mambo? Maana ndo zinakuaga ni habari kubwa sana huko.....
images.jpeg-234.jpg
images.jpeg-235.jpg
images.jpeg-232.jpg
images.jpeg-237.jpg
images.jpeg-236.jpg
 
Leo imepigwa moja, naona walificha sasa wakajaribu kuitoa kilichoikuta shetani mwenyewe anajua.ivyo vi drone ni kwa nchi ndogo sio kwa nchi kama Urusi.hata uwe nazo milioni zote zitaisha.

Sizani kama ukraine wamebaki hata na nyingine
IMG_20220317_151755.jpg
IMG_20220317_151800.jpg
 
Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.

Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.

Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenya manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.


Umaarufu ulipaaa zaidi kwenye mgogoro wa karabak
 
Back
Top Bottom