Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Nyie kwa nyie [emoji2][emoji2]Hadi alielike wote chama 1 kwa msaada........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie kwa nyie [emoji2][emoji2]Hadi alielike wote chama 1 kwa msaada........
Sie sio wanachama wa mnato kama nyieNyie kwa nyie [emoji2][emoji2]
Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.
Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na kukiondosha.
Haya mambo husababisha nihisi huruma kwa ajili ya bara letu Afrika, huku hakuna taifa hata moja lenya manowari/sub-marine, aina ya utaalam wa enzi za akina Hitler hatujaufikia, kazi yetu ni wajeda kupasua matofali siku za maonyesho tunashangilia na kujiona wababe.
We ni mwanachama ndo maana unawajua hadi wenzako[emoji23][emoji23][emoji23] mnajuana! Kama waarabu wa Pemba[emoji38][emoji38][emoji38]Sie sio wanachama wa mnato kama nyie
We si mnato au ndo unawakana sasa?We ni mwanachama ndo maana unawajua hadi wenzako[emoji23][emoji23][emoji23] mnajuana! Kama waarabu wa Pemba[emoji38][emoji38][emoji38]
Umeleta hadi picha za wenzako hapa, mnajuana kwelikweli.We si mnato au ndo unawakana sasa?
Mnato=haki za mashoga
Drones tunazo ila sijui zimefikia kwenye level hii ya kuondosha vifaru mazima mazima....
Wenzangu kwani mie na hao wanajeshi wa marekani wapi na wapi......hao si ndo makomandoo wenu wanato au ndo mnawakana sasAUmeleta hadi picha za wenzako hapa, mnajuana kwelikweli.
Sijui, sina taarifa wapi ziliundwa.
Hawa mindset tu za wazungu ila uwanjani pangu pakavu tia mchuziLakini uwezo wa kuunda drones mnao ninyi Wakenya (wananyayo) au ni majigambo yenu tu??!!🤣
marekani imara alivamia wpi akapindua serikali kwasiku tatu[emoji23][emoji23][emoji23]Nilitegemea serikali yake kuanguka baada ya siku tatu za Mrusi, siku zote nilijua Mrusi ni hatari sana, nilimuona kama level moja na Marekani, kumbe ni bonge la dhaifu, bure kabisa.
Umezunguka sana, mbona unateseka hehehe!!!
Anyway turudi kwenye mada husika, Warusi ndugu zako wanaliwa shaba na hizi drones.
Hizo Drones ni za Kenya ??!--- mbona hutaji ni askari wangapi Wa ukraine wameliwa shaba na Warusi??!!, kutaja idadi ya Warusi pekee ni propaganda za kimagharibi do not be brainwashed and biased like that, you are an African.
Hello sheikh, mada za Kenya VS Tanzania zina sehemu yake, nenda lianzishe huko utajibiwa.....
Takwimu za Warusi waliouawa zinatolewa kila siku, sasa inategemea na mlengo wako na timu yako hapo Bongo, kila upande unaona taarifa wasizozipenda kuwa propaganda.
Japo kuna video zinajitokeza za maombolezo kule Urusi, maana vifo utaficha ila hatimaye vitajitokeza tu....
Jeshi la urusi zimeangusha ndege 2 za Bulgaria na nyingine isiyojulikanaHello sheikh, mada za Kenya VS Tanzania zina sehemu yake, nenda lianzishe huko utajibiwa.....
Takwimu za Warusi waliouawa zinatolewa kila siku, sasa inategemea na mlengo wako na timu yako hapo Bongo, kila upande unaona taarifa wasizozipenda kuwa propaganda.
Japo kuna video zinajitokeza za maombolezo kule Urusi, maana vifo utaficha ila hatimaye vitajitokeza tu....
Hii sio mada ya Tz vs Kenya, hii ni mada ya ; je hata Wakenya nao hawawezi kuunda drone ya kupigia picha angani ??, sio drones za kutupa mabomu.
Unapotoa takwimu lazima usiwe biased, inatakiwa useme askari wa Russia wamekufa idadi kadhaa vis a vis askari wa Ukraine, kwani wewe kwa akili yako unadhani hakuna askari wa Ukraine waliokufa na wanaokufa so far ??!!
Achana na biased propaganda za west za aina hii:- "Africa ni njaa , vita na maradhi kila sehemu"