MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #101
Jeshi la urusi zimeangusha ndege 2 za Bulgaria na nyingine isiyojulikanaView attachment 2156089
Acha propaganda...ha ha ha!! Si ndio lugha mnatumia....
Mokaze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la urusi zimeangusha ndege 2 za Bulgaria na nyingine isiyojulikanaView attachment 2156089
Bado nakuelekeza upeleke ushabiki wa Ke vs TZ mahali pake
Takwimu sitoi mimi, wanatoa wenye nazo ambao wako huko frontline, pole ila ndio kawaida ya vita, mkivamia nchi ya watu kwao lazima mfe.
Wewe umejuaje mimi ni Mtz??, swali ni dogo tu, je ninyi wakenya mnashindwa kuunda hata drone ya kupeleka dawa katika maeneo ya dharura (emergency drones) pamoja na "expertise" yenu yote??!!.
Lete takwimu ya Warusi wangapi wamekufa na pembeni yake weka takwimu ya Wa ukraine wangapi wamekufa, hapo ndipo nitakuelewa vinginevyo ni propaganda smeared over our eyes, ears and faces. Au Ukraine inatumia Robotic soldiers against Russian human soldiers??!
Ke vs Tz ina mahali pake, nenda kule utakuta umesubiriwa balaa...
Takwimu sileti mimi, mimi ni mlaji wa takwimu zinazotolewa na wenye vita vyao, wafuate pia wakusaidie.....
Sio propaganda ndo ukweli Russia anawachakaza Sana NATO hukoAcha propaganda...ha ha ha!! Si ndio lugha mnatumia....
Mokaze
Unalishwa matango pori na hao waliokuwa wakoloni wetu, Uongo na propaganda chafu ndio asili yao toka zamani, they are naturally corrupts in many aspects, sasa usipende kuwaamini kwa kila. Jambo lao bila kulifanyia utafiti. Je umesahau pale G W Bush alipohadaa dunia na kusema; "Irag ina silaha za maangamizi" ili tu apate mwanya wa kuipiga na kuiba mafuta yake??!!--- ni hao hao NATO ndio wanaokupa hizo false statistics na wewe unameza tu bila kuchuja kama unameza vidonge vya Covid 19.
Wewe vipi ndugu MK254, utabaki hapo hapo at 254 only na sio 256, 257 nk.🤣🤣
Nenda ke Vs Tz ujibiwe
Takwimu sitoi mimi
Hehehe ni mwendo wa copy pasting sasa hadi uelewe, najua una changamoto kwenye ufahamu.
Nenda ke Vs Tz ujibiweUnajivunia copy pasting statistics ?!!,--- kuhusu kuunda drone sio suala la Kenya vs Tz ni suala la science na technology, kila siku mnadai na kutamba mpo advanced technologically na mkiulizwa juu ya mambo fulani ya kitechnology mnakuwa mbogo.
Ni wenzako ndo maana picha zao unazo na unajua mnachofanyaga.Wenzangu kwani mie na hao wanajeshi wa marekani wapi na wapi......hao si ndo makomandoo wenu wanato au ndo mnawakana sasA
Nenda ke Vs Tz ujibiwe
Takwimu sitoi mimi
We jitoe ufahamu ila ndugu zako mfananao kwa kila tabia ndo hao......ndo maana mnaogopa kuingia kusaidia wenzenu .......wanawaita watoto wa watu.............Ni wenzako ndo maana picha zao unazo na unajua mnachofanyaga.
Wazungu wenzenu wanatengeneza drone.......wazungu wa kenya mnapandwa tu na mbwa huko Mombasa na kuachiwa viingereza tuNenda ke Vs Tz ujibiwe
Takwimu sitoi mimi
Kwa majivuno yenu yoote mmeshindwa kuunda hata toy drone ya kuchukualia video??!!---- sasa ni bora muwe kimya kuliko kujigamba kusiko faa kitu.
Hutoi takwimu ni sawa kwani wewe unao uwezo wa kukusanya takwimu za vita??!! Si umesema wewe ni Copy paste wa takwimu za mabeberu (wajukuu wa wale mliopigana nao vita vya mau mau), kumbuka nyoka aliyegonga babu zako zama za maumau wajukuu zao ndio nyoka wa leo anayekugonga kwa propaganda za uongo nk.
Nenda ke Vs Tz ujibiwe
Takwimu sitoi mimi
Panama wakamtoa general Noriegamarekani imara alivamia wpi akapindua serikali kwasiku tatu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda ke Vs Tz ujibiwe
Takwimu sitoi mimi
Ke vs Tz ??!!, ni "ke" au "me" vs Tz??🤣, by the way, lazima utoe takwimu kamili za vifo kutoka pande zote zinazopigana ama sivyo nitakupiga "juju" huko huko ulipo. No joke on that.
kwahiyo kwa akili yako mtu akiandika kiingeleza wewe unamuona mtaalamu?Hivi ndivyo wajuvi wa mambo hayo walivyolichambua hilo li-video clip la propaganda linalodai hiyo drone imeharibu mamia ya vifaa vya Russia.
View attachment 2152684