Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

Bado nakuelekeza upeleke ushabiki wa Ke vs TZ mahali pake

Takwimu sitoi mimi, wanatoa wenye nazo ambao wako huko frontline, pole ila ndio kawaida ya vita, mkivamia nchi ya watu kwao lazima mfe.

Wewe umejuaje mimi ni Mtz??, swali ni dogo tu, je ninyi wakenya mnashindwa kuunda hata drone ya kupeleka dawa katika maeneo ya dharura (emergency drones) pamoja na "expertise" yenu yote??!!.

Lete takwimu ya Warusi wangapi wamekufa na pembeni yake weka takwimu ya Wa ukraine wangapi wamekufa, hapo ndipo nitakuelewa vinginevyo ni propaganda smeared over our eyes, ears and faces. Au Ukraine inatumia Robotic soldiers against Russian human soldiers??!
 
Ke vs Tz ina mahali pake, nenda kule utakuta umesubiriwa balaa...

Takwimu sileti mimi, mimi ni mlaji wa takwimu zinazotolewa na wenye vita vyao, wafuate pia wakusaidie.....
 
Unalishwa matango pori na hao waliokuwa wakoloni wetu, Uongo na propaganda chafu ndio asili yao toka zamani, they are naturally corrupts in many aspects, sasa usipende kuwaamini kwa kila. Jambo lao bila kulifanyia utafiti. Je umesahau pale G W Bush alipohadaa dunia na kusema; "Irag ina silaha za maangamizi" ili tu apate mwanya wa kuipiga na kuiba mafuta yake??!!--- ni hao hao NATO ndio wanaokupa hizo false statistics na wewe unameza tu bila kuchuja kama unameza vidonge vya Covid 19.

Wewe vipi ndugu MK254, utabaki hapo hapo at 254 only na sio 256, 257 nk.🤣🤣
 
Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi
Hehehe ni mwendo wa copy pasting sasa hadi uelewe, najua una changamoto kwenye ufahamu.
 
Unajivunia copy pasting statistics ?!!,--- kuhusu kuunda drone sio suala la Kenya vs Tz ni suala la science na technology, kila siku mnadai na kutamba mpo advanced technologically na mkiulizwa juu ya mambo fulani ya kitechnology mnakuwa mbogo.
 
Wenzangu kwani mie na hao wanajeshi wa marekani wapi na wapi......hao si ndo makomandoo wenu wanato au ndo mnawakana sasA
Ni wenzako ndo maana picha zao unazo na unajua mnachofanyaga.
 
Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi

Kwa majivuno yenu yoote mmeshindwa kuunda hata toy drone ya kuchukualia video??!!---- sasa ni bora muwe kimya kuliko kujigamba kusiko faa kitu.

Hutoi takwimu ni sawa kwani wewe unao uwezo wa kukusanya takwimu za vita??!! Si umesema wewe ni Copy paste wa takwimu za mabeberu (wajukuu wa wale mliopigana nao vita vya mau mau), kumbuka nyoka aliyegonga babu zako zama za maumau wajukuu zao ndio nyoka wa leo anayekugonga kwa propaganda za uongo nk.
 
We jitoe ufahamu ila ndugu zako mfananao kwa kila tabia ndo hao......ndo maana mnaogopa kuingia kusaidia wenzenu .......wanawaita watoto wa watu.............
 
Kwa majivuno yenu yoote mmeshindwa kuunda hata toy drone ya kuchukualia video??!!---- sasa ni bora muwe kimya kuliko kujigamba kusiko faa kitu.

Hutoi takwimu ni sawa kwani wewe unao uwezo wa kukusanya takwimu za vita??!! Si umesema wewe ni Copy paste wa takwimu za mabeberu (wajukuu wa wale mliopigana nao vita vya mau mau), kumbuka nyoka aliyegonga babu zako zama za maumau wajukuu zao ndio nyoka wa leo anayekugonga kwa propaganda za uongo nk.

Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi
 
Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi

Tengenezeni drone tuone teknoloji yenu.

Toa takwimu za kweli na sio copy pasting za mabeberu (wajukuu wa wakoloni wa maumau), vinginevyo kaa kimya.
 
Ke vs Tz ??!!, ni "ke" au "me" vs Tz??🤣, by the way, lazima utoe takwimu kamili za vifo kutoka pande zote zinazopigana ama sivyo nitakupiga "juju" huko huko ulipo. No joke on that.
 
Umeamka nimekusubiri sana

Nenda ke Vs Tz ujibiwe

Takwimu sitoi mimi
 
Back
Top Bottom