This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Ila elewa miaka 5 tu ya ubunge imempa maisha ,usimbeze,hutamfikia hata chembe.Lini wew utalipwa mshahara milioni 12 na posho kibao.Yule siyo mwenzio.Watu kwa ufinyu wa kufikiri mnajidanganya sana.Hivi sasa hivi anafanyashughuli gani au amerudi kwenye kazi yake ya kuimba!!
Hapo ndiyo pazuri kabisa kwa kupashana.Hapa ndipo tumefika ambapo hata misiba inakuwa ni sehemu ya kupashana!
Si dalili nzuri kwa wale wanaoelewa!
Akili ni kuiba kura kwenye mabegi meusiHuu ni ujinga
AiseeBora watwangane tu. Ccm imeiba kura za wabunge wa upinzani wote na kuwaingiza Wana ccm hata Kama hawajashinda. Bora kutwangana ndo kutaleta heshima
Umeulizwa bwashehe!Kwa sasa Sugu ni mbunge mstaafu aka raia wa kawaida!
Kama watu watakosa mahali sahihi pa kucheulia nyongo, basi maeneo kama haya ndio huwa majukwaa sahihi ya kupata relief kwa yale yaliyokujaza moyoni!Hapa ndipo tumefika ambapo hata misiba inakuwa ni sehemu ya kupashana!
Si dalili nzuri kwa wale wanaoelewa!
Hahahaaaa....... Tunakumbushana tu!Umeulizwa bwashehe!
Imekuingia usimbomole tu hoteli yakeHahahaaaa....... Tunakumbushana tu!
Bila kuulizwa Sugu ni mwananchi wa kawaida tu anayotamka hayana nguvu yoyote ni sawa na muuza kahawa gengeniUmeulizwa bwashehe!
Linawezekana usemalo, Kama mmeweza kutunga Sheria ya kutoshitakiwa mkitoka madarakani itashindikana hii?Siasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii
Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?
Ni upumbavu ambao ukilelewa mwisho wake watu watatwangana makonde Mbele ya mwili wa marehemu,
Naomba kutumgwe Sheria ya kuheshimu na kutoleta mizaha kwenye misiba
Akafanye kolabo na Abdul Misambano, lakini Ubunge ni Dk. Tulia tu Mbeya Mjini!
Siasa ni mfumo wa maisha.
Mbali na makosa mengi ya CCM, Je Hilo la siasa Mbele ya maiti nalo unaunga mkono?Linawezekana usemalo, Kama mmeweza kutunga Sheria ya kutoshitakiwa mkitoka madarakani itashindikana hii?
Tena huku mkijua kuwa mnatenda mabaya katika nchi yetu
Ile ni hotel kwani?Imekuingia usimbomole tu hoteli yake
Ova
Siasa zinatengeneza kitu kibaya Sana kwenye jamii
Inamaana hata kwenye msiba kunafanywa siasa?...
Mimi siyo mpinzani mkuu usinitukane!! Mimi ni mtawala natawala nchi ya Tanzania wapinzani mazuzu ni hao wakina Sugu na mleta thread.
Hakuna mpinzani anaweza kuchakachua matokeo maana hana vyombo vya dola na taasisi za kimamlaka kumsaidia kufanya hilo. Kilichofanyika kwenye uchaguzi ule tumekiona kwa macho yetu. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.Unajua hii dunia, sijui inakwenda wapi? Yaani kila mtu akishindwa, anasema matokeo yamechakachuliwa. Mpaka Trump anabisha kuwa hakushindwa. Sasa sijui kwenye uchaguzi huwa wanakwenda kushindana, au huwa wanakwenda kwenye uchaguzi ili wao tu washinde? Alivyoshinda yeye 2015 ndio ilikuwa halali, si ndio??? Sasa hivi kashindwa, matokeo yamechakachuliwa. Basi hata 2015 yalichakachuliwa pia, ndio maana alishinda.