Special Seat
Senior Member
- Jul 21, 2024
- 169
- 301
Mama ajiandae kwa makomboraKigogo
Hamna makombora ambayo mama hajapewa. Huyu Januari kupitia dada yake Mwamvita ndiyo alikuwa anatengeneza yale matusi na kumpa yule dada wa California arushe kwenye ukurasa wake wa Mange Kimambi kwa malipoMama ajiandae kwa makombora
Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya mwanasiasa machacha wa Chama tawala nchini Tanzania Cde January Yusuph Makamba.
Alikua anaongea nini huyu kibaraka wa wamarekani ndani ya serikali.
Sahihi kabisaSiasa za nchi hii usipokua mtu wa kuomba na kuabudu hutoboi
Ndo walivyo kuambia? Au mlikuwa woteHamna makombora ambayo mama hajapewa. Huyu Januari kupitia dada yake Mwamvita ndiyo alikuwa anatengeneza yale matusi na kumpa yule dada wa California arushe kwenye ukurasa wake wa Mange Kimambi
View attachment 3048532
ndio hao hao kina ma rope. kama wewe unawajua wengine tutajieMama hamjui adui yake.
Video haina hata muktadha wa alichoongea ni nini.Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya mwanasiasa machacha wa Chama tawala nchini Tanzania Cde January Yusuph Makamba.
View attachment 3048525
Nivema akawatajandio hao hao kina ma rope. kama wewe unawajua wengine tutajie
YESU ni Mwokozi
Huwezi kuwa Rais usijue haya mambo, watoa taarifa wako kila sehemu ni timing tu hizi. Yule naibu waziri kujiuzuru haikuwa kwa kupenda kaambiwa tu achia ubunge na uwaziri nafasi yako mtu anakuja kujaza na Makamba alikuwa muda tu kuna kitu hawa wamefanya kimethibitishwa kimefika meza kuu. Narudia huwezi kuwa kiongozi mkuu usijue kinaendelea kitu gani. Makamba siku nyingi alikuwa anatiliwa mashaka.Mama hamjui adui yake.
Ndiyo tulikuwa woteNdo walivyo kuambia? Au mlikuwa wote
Nchi ngumu sana hiiNdiyo tulikuwa wote
Hajakosea kusema, ni kweli Mama wa Kizimkazi hakubaliki lakini tatizo ni mama mwenyewe kutokuamini na kuvimbishwa kichwa na chawa wake!Kwani hapo kakosea nini? Hii nchi haitaki watu wakweli kabisa aidha wakutumbue au wakuue kabisa.