VIDEO: Huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wa January

VIDEO: Huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wa January

Sasa ngoja nikufundishe. Kwa nini Mange aliposema bibi Kisimkazi anapenda ule mchezo, mwitiko wa chawa na viongozi wengine ulikuwa wa panic sana? Hivi tuhuma kama zile kama ni uzushi tu zina athari gani?
Wewe ni kinda kwenye siasa ndiyo maana huelewi. Hivi unajuwa Mange Kimambi alichangia kiasi gani kum destabilise Magufuri kisaikolojia na kiafya?
 
Ila kwa hapa alibugi sana step .... Tatizo naona arrogance ilikuwa inaanza kupitiliza. Alifikiri yeye ni untouchable. Sasa naona Mwigulu ndiye anayecheza game yake poa. Wanaojidai wa Mjini niyo hao wanapitiwa.
Asamehewe maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom