macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Unataka kutuambia kuwa Mange hajui matusi mpaka atengenezewe na January halafu ampe dada yake ayapeleke?Hamna makombora ambayo mama hajapewa. Huyu Januari kupitia dada yake Mwamvita ndiyo alikuwa anatengeneza yale matusi na kumpa yule dada wa California arushe kwenye ukurasa wake wa Mange Kimambi
View attachment 3048532