VIDEO: Huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wa January

VIDEO: Huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wa January

Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya mwanasiasa machacha wa Chama tawala nchini Tanzania Cde January Yusuph Makamba.

View attachment 3048525

Ila kwa hapa alibugi sana step .... Tatizo naona arrogance ilikuwa inaanza kupitiliza. Alifikiri yeye ni untouchable. Sasa naona Mwigulu ndiye anayecheza game yake poa. Wanaojidai wa Mjini niyo hao wanapitiwa.
 
Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya mwanasiasa machacha wa Chama tawala nchini Tanzania Cde January Yusuph Makamba.
Ni bora umeanza na "Huenda"; kwa maana huna lolote unalojuwa.
Utajuwa vipi kuwa ni "mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa" wa mtu mwingine; kwani siasa ni huyo 'Chura Kiziwi' ndiye anawaamulia watu wengine?
 
Makamba na Nape watulie tu, maana kama ni pesa wamevuna za kutosha. Wanaopiga kelele mitandaoni ni wivu tu unaowasumbua.
 
Makamba na Nape watulie tu, maana kama ni pesa wamevuna za kutosha. Wanapiga kelele ni wivu tu unaowasumbua.
Punguza maumivu, wapo wanaotenguliwa unafurahi
Na wale unaowapenda sana wakitenguliwa hupaswi kupata maumivu

Hata hivyo baada ya muda huko mbeleni wanaweza kuteuliwa tena, walipoteleza watasamehewa. Punguza maumivu, huenda hata wenyewe hawajaumia kama ww ulivyoumia
 
Hamna makombora ambayo mama hajapewa. Huyu Januari kupitia dada yake Mwamvita ndiyo alikuwa anatengeneza yale matusi na kumpa yule dada wa California arushe kwenye ukurasa wake wa Mange Kimambi
View attachment 3048532
Kwa hiyo leo unakubaliana na Makonda kwamba kuna mawaziri wa namtumia Mange kumtukana chura kiziwi?
 
Back
Top Bottom