Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwa pesa alizopiga hana haja yeye na ukoo wake wote kufanya kazi wala kuajiriwa watakula mpk dunia inafika mwishoHuenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya Mbunge na mwanasiasa machachari toka Chama tawala nchini Tanzania Bw January Yusuph Makamba.
View attachment 3048525
Pia soma > Kuelekea 2025 - Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu