VIDEO: Huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wa January

Unataka kutuambia kuwa Mange hajui matusi mpaka atengenezewe na January halafu ampe dada yake ayapeleke?
Chagua ku ignore au kwenda na mimi. Hata kama mange anajuwa kutukana ila paymaster alikuwa Januari. Usipotaka wacha
 
Chagua ku ignore au kwenda na mimi. Hata kama mange anajuwa kutukana ila paymaster alikuwa Januari. Usipotaka wacha
Sasa ngoja nikufundishe. Kwa nini Mange aliposema bibi Kisimkazi anapenda ule mchezo, mwitiko wa chawa na viongozi wengine ulikuwa wa panic sana? Hivi tuhuma kama zile kama ni uzushi tu zina athari gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…