Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

Ni vile hatuna uwezo wa kuwaadhibu unadhani huyo mwanamke angekuwa na nguvu ya kumchinja huyo mume asingemchinja? Au ingekuwa mwanaume ndo kamfuma mkewe ndani mwake angefanyaje kama sio kuwachinja km kuku nyumba nzima, ni kwa vile mnazo nguvu, sie tunatamanigi hata kuwatafuna ila ndo hata kifinyo hatuezi kuwapa ndo hapo tunaishia kuchepuka au kuwamaliza kimyakimya

Na kusingekua na kusahau, sifikirii tungekua na watu hai, au wasio na matatizo ya kisaikolojia. Najua wapo lakini idadi ingekua kubwa kuliko iliyopo Sasa.

Kumkomoa mtu asiyejupenda au kukujali nayo ni kibarua ya tofauti na ngumu pia.
 
Back
Top Bottom