Kaory
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 537
- 1,114
Dawa na wewe mwanamke kuwa na mtu wako pembeni kimyaaa, Mume atashangaa unanunua godoro jipya, sofa jipya wala humuulizi chochote. Wewe mambo yako sirini afu huulizi wala huonyeshi hasira maisha yanaendelea.Unamuacha tu Mana ni tahaira uyo