VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

tangu kuja iyo AI basi kujifanya kila kitu AI hata kwenye ukweli kupoza uchungu basi utaisingizia AI
IDF walikuwa wameingia cha kike, IDF kutumia ndege kurusha makombora kuiharibu Gaza haimaanishi jeshi lao ardhini wapo vizuri.
Huwezi kushinda vita kirahisi kama jeshi la ardhi ni mdebwedo, utaruka juu na ndege lakini mwisho wa siku lazima boots zikanyage ardhi kupambana kiume.

Na hapo ndipo IDF wanafeli, siku ya makabadhiano ya mateka IDF ndipo walijua Hamas wapo wengi sana hawajaisha....
Hii video fupi inaelezea uhalisia wa kivita haswa ardhini huko Gaza.

Hamas imekuwa ngumu kuwadhibiti kwa sababu wana uwezo mkubwa kupambana ardhini kuliko IDF..
Utasikia wanakimbia na kujificha miongoni mwa wananchi, hapa unashuhudia vita ya face to face, wanaokimbia na kulia kama watoto wanachomwa sindano clinic ni askari wa IDF.
 
Na sisi tulimfundisha baba yako pia.ni kazi ndogo tu
Hujui chochote kuhusu AI, hakuna AI hapo, hili tukio lilitokea kabla ya cease fire march 18...
Toka mfahamu AI basi kila jambo ni AI..
AI naifahamu vyema , narudia tena hio sio AI...
 
Watakuwa wamekutana na Wanaume kweli kilio kama watoto. FREE FREE PALESTINE
Wanalia kama watoto, wanaona dakika za mwisho zimefikia...
Hapo wanarushiwa hadi na grenades, kiukweli walikuwa kwenye wakati mgumu sana..
 
Back
Top Bottom