VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

IDF walikuwa wameingia cha kike, IDF kutumia ndege kurusha makombora kuiharibu Gaza haimaanishi jeshi lao ardhini wapo vizuri.
Huwezi kushinda vita kirahisi kama jeshi la ardhi ni mdebwedo, utaruka juu na ndege lakini mwisho wa siku lazima boots zikanyage ardhi kupambana kiume.

Na hapo ndipo IDF wanafeli, siku ya makabadhiano ya mateka IDF ndipo walijua Hamas wapo wengi sana hawajaisha....
Hii video fupi inaelezea uhalisia wa kivita haswa ardhini huko Gaza.

Hamas imekuwa ngumu kuwadhibiti kwa sababu wana uwezo mkubwa kupambana ardhini kuliko IDF..
Utasikia wanakimbia na kujificha miongoni mwa wananchi, hapa unashuhudia vita ya face to face, wanaokimbia na kulia kama watoto wanachomwa sindano clinic ni askari wa IDF.
Mkuu upo saaiii kwa 100% IDF waupe sana
Tofaut na tulivoambiwa au kutegemea nionacho awana Ujasiri wa kutoa Upinzani !!!

Wakiona Jamaa wapo kweli Seem wao nikuomba Msaada na kukimbia !!!

ukiyasikia aya Mataga ya Jehova na Walokole Utaogopa nembo ya IDF lkn njooo kwenye Utekelezaji O !!!

Huu mwaka 3 unaenda Wanapigana GAZA kieneo kidogo yani Dunia imeduwaa !!!

IDF ETI ndio wanatoa mafunzo karibu kila kona ya Dunia wenyewe ndio awa wanauwa watoto wamama !!!

Hamas wapo apo apo aibu kubwa hiii

leo Marekani vip atawashutumu wengine kwa ukiukaji wa haki za Binadamu !!!

ikiwa yeye ndio Msambazaji mkuu wa Silaha kwa Israel ambazo zinauwa tu watoto wamama Mahospitali Mashule

ni kama IDF aipo kupambana na Hamas !!!

ingekuwa wapo kupambana na Hamas basi leo Vifo vya Hamas vingekuwa vingi zaid. Tofaut na sasa ambapo vifo vya raia ndio vingi sana adi vichanga..,,,
 
IDF walikuwa wameingia cha kike, IDF kutumia ndege kurusha makombora kuiharibu Gaza haimaanishi jeshi lao ardhini wapo vizuri.
Huwezi kushinda vita kirahisi kama jeshi la ardhi ni mdebwedo, utaruka juu na ndege lakini mwisho wa siku lazima boots zikanyage ardhi kupambana kiume.

Na hapo ndipo IDF wanafeli, siku ya makabadhiano ya mateka IDF ndipo walijua Hamas wapo wengi sana hawajaisha....
Hii video fupi inaelezea uhalisia wa kivita haswa ardhini huko Gaza.

Hamas imekuwa ngumu kuwadhibiti kwa sababu wana uwezo mkubwa kupambana ardhini kuliko IDF..
Utasikia wanakimbia na kujificha miongoni mwa wananchi, hapa unashuhudia vita ya face to face, wanaokimbia na kulia kama watoto wanachomwa sindano clinic ni askari wa IDF.
IDF wameingia Ground Gaza +Lebanon.
Wangekuwa wadhaifu wasingeenda.
Hata Syria wapo Ground Invasion
 
IDF wameingia Ground Gaza +Lebanon.
Wangekuwa wadhaifu wasingeenda.
Hata Syria wapo Ground Invasion
Mkuu Lebanon askari wa IDF walishindwa kupambana na Hezbollah, ni wazi walimuua Nasrallah kwa ndege na intel waliyotumia kwa msaada wa US, lakini ground walishindwa kuvunja ngome ya Hezbollah...

Hao wa ground invasion kazi yao muda wote ni kutembea na radio, wakihisi km 5 mbele kuna maadui, hao wanavuta waya na kutoa taarifa za eneo(air support), zinakuja ndege na kupiga hayo maeneo..

Air support ikiwa njiani wanaanza kutumia machine gun kupiga ili kuwa sukuma nyuma maadui na kuwaogofya, ukiwakuta wanapiga machine guns utasema wapo kwenye mapambano makali sana, kumbe hata adui hawamuoni.

Uje ufuatilie hata documentary za jeshi la US nchini Afghanistan, utacheka sana..
 
Watakuwa walijiandaa sana hao Hamas, hadi mpiga picha
Askari wa IDF wana camera kwenye helmet zao(Helmet Cam Footage), kila kinachoendelea uwanja wa mapambano, huko kambini kwao wanaona.
Hio video ilirekodiwa na camera iliyokuwa kwenye helmet ya askari wa IDF..
 
Mkuu Lebanon askari wa IDF walishindwa kupambana na Hezbollah, ni wazi walimuua Nasrallah kwa ndege na intel waliyotumia kwa msaada wa US, lakini ground walishindwa kuvunja ngome ya Hezbollah...

Hao wa ground invasion kazi yao muda wote ni kutembea na radio, wakihisi km 5 mbele kuna maadui, hao wanavuta waya na kutoa taarifa za eneo(air support), zinakuja ndege na kupiga hayo maeneo..

Air support ikiwa njiani wanaanza kutumia machine gun kupiga ili kuwa sukuma nyuma maadui na kuwaogofya, ukiwakuta wanapiga machine guns utasema wapo kwenye mapambano makali sana, kumbe hata adui hawamuoni.

Uje ufuatilie hata documentary za jeshi la US nchini Afghanistan, utacheka sana..
Mbona Hezbollah hana nguvu tena nowadays,?????
Mwanzo tuliaminishwa Hezbollah ni hatari IDF hatii mguu.
Ila mwisho wa siku wote tumejua nani mwanaume
 
IDF Imeshindwa kupenya na kuvunja ngome ya Hezbollah, mapambano ardhini IDF wamehenyeshwa vilivyo..
 
Hezbollah kabaki Dhoofuli-hali, umemsikia lini karusha kombora kwenda Israel???
Hii ni baada ya Ground Invasion kuwanyong'onyesha
Kwenye intel IDF ilifanikiwa kwa umakini mkubwa kutambua mienendo ya Nasrallah na pia kuwategea vilipuzi..
Lakini walipovimba vichwa kwamba wataweza kupambana na askari wa Hezbollah ardhini walishindwa kabisa..

Mwisho wa siku wakarudi nyuma baada ya kuona si rahisi..
 
Ulikuepo eneo la tukio?
 
Back
Top Bottom