VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

Vita mbaya, ksuna kufa au kupona.
Vita sio kitu kizuri.
 
Kwenye intel IDF ilifanikiwa kwa umakini mkubwa kutambua mienendo ya Nasrallah na pia kuwategea vilipuzi..
Lakini walipovimba vichwa kwamba wataweza kupambana na askari wa Hezbollah ardhini walishindwa kabisa..

Mwisho wa siku wakarudi nyuma baada ya kuona si rahisi..
Swali ni Mbona Hezbollah hana nguvu baada ya Ground Invasion???
 
Swali ni Mbona Hezbollah hana nguvu baada ya Ground Invasion???
SIo hana nguvu, kelele za serikali ya Lebanon na wananchi kuhusu hii vita ilipelekea Hezbllah kuacha mapigano, hivyo Israel ilianza kutisha kuishambulia Lebanon kama ilichofanya Gaza.

Kama unafuatilia utagundua Lebann kuna kundi la wananchi na viongozi wa serikali ambao hawauingi mkno Hezbollah na ndio wamtumika kaika kufanya ujasusi ndani ya Hezbollah kwa malipo, Israel watakupa pesa yeyote iwapo tu utakubali kutoa taarifa za kijasusi au uwatumikie.

Lakini kiuhalisia Hezbollah wapo vizuri...IDF imeshindwa kuvunja ngome ya Hezbollah wamepigika sana ardhini..
 
Yaani kobazi wawe vizuri halafu idf atambe hapo middle east embu peleka upuuzi wako huko
 
Wanalia kama watoto, wanaona dakika za mwisho zimefikia...
Hapo wanarushiwa hadi na grenades, kiukweli walikuwa kwenye wakati mgumu sana..
Sasa hapo kapigwa mmoja wenzake wakawahi wanajibu mashambulizi. Hivi kuumia kwenye vita mbona ni vitu vya kawaida tu. We unaona wamekimbia hapo au wamewahi kusaidia mwezao.
 
Mwishowe hapo idf kawin
Tena huyu jamaa mweupe sana. Yule yupo uwanja wa vita kajeruiwa wezie wakawahi na kufanya mashambulizi kujibu Sasa utasema hamasi kashinda hapo?. Wakati jamaa walivyogika wakawini
 
Back
Top Bottom