Yaani huyu jamaa anajichanganya sana maelezo yake. Maana hata hiyo video mwisho idf wame win. Na vitu Kama hivyo vinatokea vitani Ila nani akashinda baada ya kutokea ndiyo msingi wa vitaYaani kobazi wawe vizuri halafu idf atambe hapo middle east embu peleka upuuzi wako huko