and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
Alinifundisha mama yako.AI mjinga wewe,Nyie pumbavu wengine sijui hata nani aliwaonyesha jinsi ya kuLog in JF.
Nyau nyie
Na sisi tulimfundisha baba yako pia.ni kazi ndogo tuAlinifundisha mama yako.
Umepaniki sana mkuu. Huyu ameleta video, ungempinga kwa hoja.AI mjinga wewe,Nyie pumbavu wengine sijui hata nani aliwaonyesha jinsi ya kuLog in JF.
Nyau nyie
Mkuu mbona akili mnemba hii!Askari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga.
View: https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78
Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
tangu kuja iyo AI basi kujifanya kila kitu AI hata kwenye ukweli kupoza uchungu basi utaisingizia AIAI mjinga wewe,Nyie pumbavu wengine sijui hata nani aliwaonyesha jinsi ya kuLog in JF.
Nyau nyie
Watakuwa wamekutana na Wanaume kweli kilio kama watoto. FREE FREE PALESTINEAskari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga.
View: https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78
Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
wewe jamaa unajidhalilisha bila kujijuaAskari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga.
View: https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78
Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
IDF walikuwa wameingia cha kike, IDF kutumia ndege kurusha makombora kuiharibu Gaza haimaanishi jeshi lao ardhini wapo vizuri.tangu kuja iyo AI basi kujifanya kila kitu AI hata kwenye ukweli kupoza uchungu basi utaisingizia AI
Hujui chochote kuhusu AI, hakuna AI hapo, hili tukio lilitokea kabla ya cease fire march 18...Na sisi tulimfundisha baba yako pia.ni kazi ndogo tu
Wanalia kama watoto, wanaona dakika za mwisho zimefikia...Watakuwa wamekutana na Wanaume kweli kilio kama watoto. FREE FREE PALESTINE
Source : Kwa Mtoro Online Tv.
Akili mnembo?Mkuu mbona akili mnemba hii!
Usiwe unaleta ujuaji kwenye vitu visivyo hitaji ujuaji, hakuna AI hapo...Na sisi tulimfundisha baba yako pia.ni kazi ndogo tu
Hili jibu zuri sana , nakupa tuzo ya jibu bora la mwaka jf kabla mwaka haujaisha.Alinifundisha mama yako.
Aisee kumbe ulifika hivi karibuni?Gaza Bado Kuna nyumba kumbe..