Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hiyo ni AINenda youtube katazame vyema..
Ulikuepo kama nani eneo la tukioNdio.
Kama mwandishi wa habari wa kujitegemea..Ulikuepo kama nani eneo la tukio
Picha Yako ukiwa eneo la tukioKama mwandishi wa habari wa kujitegemea..
Wamekutana na wanajeshi wa gaza...acha wapelekewee moto..wameshau wapalestine wengi wasiokuwa na hatia mama na watotoAskari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga.
View: https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78
Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
Umetumwa?Picha Yako ukiwa eneo la tukio
Mbona hasira leta picha ukiwa eneo la tukio we si muandishi wa habariUmetumwa?
Si salama kwangu kuweka picha yangu hapa...Mbona hasira leta picha ukiwa eneo la tukio we si muandishi wa habari
Si salama kivipi muandishi wa habari Gani anajifichaficha wakati anapaswa kutazamwaSi salama kwangu kuweka picha yangu hapa...
Maana ya jf sio lazima utambulike kama instagram.. na tuliopo humu tup pia instagram na twitter, youtube...Si salama kivipi muandishi wa habari Gani anajifichaficha wakati anapaswa kutazamwa
Kwahiyo Mimi nikisema wewe muongo nitakua sijakoseaMaana ya jf sio lazima utambulike kama instagram.. na tuliopo humu tup pia instagram na twitter, youtube...
Kwa mawaz yako hujaksea..Kwahiyo Mimi nikisema wewe muongo nitakua sijakosea
SawaKwa mawaz yako hujaksea..
Swali ni Mbona Hezbollah hana nguvu baada ya Ground Invasion???Kwenye intel IDF ilifanikiwa kwa umakini mkubwa kutambua mienendo ya Nasrallah na pia kuwategea vilipuzi..
Lakini walipovimba vichwa kwamba wataweza kupambana na askari wa Hezbollah ardhini walishindwa kabisa..
Mwisho wa siku wakarudi nyuma baada ya kuona si rahisi..
SIo hana nguvu, kelele za serikali ya Lebanon na wananchi kuhusu hii vita ilipelekea Hezbllah kuacha mapigano, hivyo Israel ilianza kutisha kuishambulia Lebanon kama ilichofanya Gaza.Swali ni Mbona Hezbollah hana nguvu baada ya Ground Invasion???
Yaani kobazi wawe vizuri halafu idf atambe hapo middle east embu peleka upuuzi wako hukoSIo hana nguvu, kelele za serikali ya Lebanon na wananchi kuhusu hii vita ilipelekea Hezbllah kuacha mapigano, hivyo Israel ilianza kutisha kuishambulia Lebanon kama ilichofanya Gaza.
Kama unafuatilia utagundua Lebann kuna kundi la wananchi na viongozi wa serikali ambao hawauingi mkno Hezbollah na ndio wamtumika kaika kufanya ujasusi ndani ya Hezbollah kwa malipo, Israel watakupa pesa yeyote iwapo tu utakubali kutoa taarifa za kijasusi au uwatumikie.
Lakini kiuhalisia Hezbollah wapo vizuri...IDF imeshindwa kuvunja ngome ya Hezbollah wamepigika sana ardhini..
Sasa hapo kapigwa mmoja wenzake wakawahi wanajibu mashambulizi. Hivi kuumia kwenye vita mbona ni vitu vya kawaida tu. We unaona wamekimbia hapo au wamewahi kusaidia mwezao.Wanalia kama watoto, wanaona dakika za mwisho zimefikia...
Hapo wanarushiwa hadi na grenades, kiukweli walikuwa kwenye wakati mgumu sana..
Tena huyu jamaa mweupe sana. Yule yupo uwanja wa vita kajeruiwa wezie wakawahi na kufanya mashambulizi kujibu Sasa utasema hamasi kashinda hapo?. Wakati jamaa walivyogika wakawiniMwishowe hapo idf kawin