Yaani huyu jamaa anajichanganya sana maelezo yake. Maana hata hiyo video mwisho idf wame win. Na vitu Kama hivyo vinatokea vitani Ila nani akashinda baada ya kutokea ndiyo msingi wa vita
Ground invasion ya IDF kupambana na Hezbollah ilifikia wapi?
Kusini mwa Lebanon IDF imeshindwa kuchukua kijiji hata kimoja, licha ya kupeleka askari zaidi ya 50,000(elfu hamsini).
Na kipindi hiki walipeleka askari wengi mara tatu zaidi ya waliokwenda 2006, former advisor wa Prime Minister Yitzhak Rabin anasema Hezbollah walikuwa wakiwaruhusu askari wa Israel kuingia ndani zaidi kabla hawajawazunguka na kuwamaliza, kitu ambacho ilikuwa mtihani hata kwa elite units wa IDF..
Inasemekana hizo tricks zilipelekea hata vikosi vya komandoo kama Golani na vikosi vingine kushindwa kabisa.
Sasa hapo kapigwa mmoja wenzake wakawahi wanajibu mashambulizi. Hivi kuumia kwenye vita mbona ni vitu vya kawaida tu. We unaona wamekimbia hapo au wamewahi kusaidia mwezao.
Hajapigwa mmoja hapo, wote wamekimbia na wanatoka nje, wanajitahidi kujibu lakini wanazidiwa ndio maana wanarudi nyuma...
Wanalia vilio vya hofu kama mwisho umefika, Hamas hapo wanapigana kiume kufa kupona hakuna kupiga kelele za uoga...
Huo ushindi ni upi? kuipiga Gaza kwa makombora? kama walishinda kwanini walikubali mazungumzo ya kubadilishana mateka?
Je ulishuhudia Hamas walivy wengi wakiwa na magari mapya wakisheherekea ushindi? wamevaa sare mpya, na maeka wakiwa salama?
Hauwezi kuwashinda jihadists uso kwa uso hata siku moja ..Wenye moyo wa kupigana uso kwa uso ni wajapan, warusi ila waliobaki ni wazee wa Mabovu na vita ua fitna.