Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Sasa wewe mbona umekaa kaa hapa si uombe ufanywe sokwe wa majaribioSasa mnataka wenzenu watumie rasilimali zao kuandaa chanjo nyue africa mmekaa tu kama hamjui kinachoendelea alafu kesho mje kuanza kuombaomba io chanjo mkishaanza kufa kama kuku. Kama wanasayansi wenu waneshindwa kufanya chochote kuna shida gani kwenye hili janga mchango wenu ukwa ni kufanya samples??
Beggers can never be choosers
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaomba kadi ya sokwe wa majaribioBora Wakoloni weupe kuliko hawa Wakoloni uchwara weusi ndiyo slogan yetu
Huko Ifakara wazungu wamejaa na wanafanya majaribio kila siku iendayo kwa MunguUshaomba kadi ya sokwe wa majaribio
Ndo mtengeneze dawa zenu, boresheni elimu zenu muwatoe ma technicians bora waweze kutengeneza dawa au chanjo, bila hivyo waafrica mtabaki kuwa guinee pigsBaada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama βguinee pigsβ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio warnde wakawape binadamu huko ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.
SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!
Au waje wafanye utafiti nyumbani kwa mwenyekiti na mwanae!Aisee Mataga mna vituko mnoo
Mataga hapa tayari umeshapanic.Au waje wafanye utafiti nyumbani kwa mwenyekiti na mwanae!
Haya, tanua mak*lio yako hao waume zako wakufokoe sasa...Hao wazungu wanawategemeza kwa kila kitu! Tusijifanye kujitutumua hapa!
Hata hivyo vitaasisi vyenu uchwara vya intelligence viko under superior counter intelligence za wazungu!
They monitor you like they always do! And they will continue to do so much as you are stupid and illiterate.
Hako kavideo uchwara wamekavujisha makusudi tu! They are not that naive!
Eti ooh mabeberu tutapambana nao! Forget it!
Ninyi ni chimpanzees tu! Watawafanya vile wanavyotaka kwa mbinu zote wanazozijua na hamtafanya lolote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense!Haya, tanua mak*lio yako hao waume zako wakufokoe sasa...
Ww upo kwenye cheo cha "upumbafu"! Huwezi elewa! Kwani ukimwi ulitoka wapi? Mtu anakutengenezea kirusi, anakiingiza mwilini mwako, baadae anakuletea viijimisaada vya uongo na kweli, afu ww kwa uzuzu wako na umbulula wako unampigia makofi na kumtukuza kwa kumshukuru!? Upumbafu ni janga baya kuliko majanga yote yanayoweza mpata mwanadamu! Pole yako!
Hahahaaaaa.......!Mataga hapa tayari umeshapanic.
Wakija bongo kuitaji watu wa majaribio kwa ofa ya donge nono kila mtu atakimbilia hapa mnaongea tu lakini njaa haina adabu.Rushwa mbaya sana!
Ngoma yenyewe wameileta wao ndiyo wakaitupia huku bara gizaAcheni uzuzu ,,,bila wazungu wagonjwa wa Ngoma wangeishije / pia hata ....shuklan waafrica hatuna.
Sent using Hapa Chadema tu
Sasa hapo kuna muda wakutafuta chanjo kweli? Akitoka hapo anaenda kugegeda tu hamna kingineView attachment 1409257
Kwa hali hii wacha tuchanjwe tu,kwa maana uchawi wetu umeshindwa pia
ππππππSasa hapo kuna muda wakitafuta chanjo kweli? Akitoka hapo anaenda kugegeda tu hamna kingine
Sent using Jamii Forums mobile app