Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Sasa mnataka wenzenu watumie rasilimali zao kuandaa chanjo nyue africa mmekaa tu kama hamjui kinachoendelea alafu kesho mje kuanza kuombaomba io chanjo mkishaanza kufa kama kuku. Kama wanasayansi wenu waneshindwa kufanya chochote kuna shida gani kwenye hili janga mchango wenu ukwa ni kufanya samples??
Beggers can never be choosers


Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe mbona umekaa kaa hapa si uombe ufanywe sokwe wa majaribio
 
Iyo chanjo tayari inafanyiwa majaribio ulaya na Australia. Anachosema uyo doctor ni kwamba ijaribiwe na africa pia na ameelezea vizuri kwann. Skilizeni ushauri wa wataalamu, achana na uyo mtangazaji kwenye video ni mpuuzi tu hakuna anachoelewa. Kwanza yeye sio mwafrica ni mmarekani mweusi. Amezaliwa na kukulia marekani haujui chochote kuhusu africa. Eti hajui hata samuel etoo ni nani alaf anajiita mwafrica

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio warnde wakawape binadamu huko ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.

SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!

Ndo mtengeneze dawa zenu, boresheni elimu zenu muwatoe ma technicians bora waweze kutengeneza dawa au chanjo, bila hivyo waafrica mtabaki kuwa guinee pigs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunalipa kodi matrilioni ya fedha tunasomesha watu wanaishia kuvaa makoti na vipima moyo tu!

Hizo fedha ni bora tungenunua magari ya kifahari tule nyama choma hapa mjini kuliko kupeleka ng'ombe shule!

Tuendelee kusubiri wazungu watupe dawa! Meanwhile wote mtulie msijifanye fanye wajuzi hapa!

"Ooh corona imetengenezwa na wazungu"! Well fine, go to a lab and make an antidote and save the world!

"Ooohh unajua nimesoma muhimbili nina masters nne, mimi ni bingwa wa kutibu vidonda!"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wazungu wanawategemeza kwa kila kitu! Tusijifanye kujitutumua hapa!

Hata hivyo vitaasisi vyenu uchwara vya intelligence viko under superior counter intelligence za wazungu!

They monitor you like they always do! And they will continue to do so much as you are stupid and illiterate.

Hako kavideo uchwara wamekavujisha makusudi tu! They are not that naive!

Eti ooh mabeberu tutapambana nao! Forget it!

Ninyi ni chimpanzees tu! Watawafanya vile wanavyotaka kwa mbinu zote wanazozijua na hamtafanya lolote!



Sent using Jamii Forums mobile app
Haya, tanua mak*lio yako hao waume zako wakufokoe sasa...
 
Acha kukalili mkuumbn unakuwa Mjinga
Ww upo kwenye cheo cha "upumbafu"! Huwezi elewa! Kwani ukimwi ulitoka wapi? Mtu anakutengenezea kirusi, anakiingiza mwilini mwako, baadae anakuletea viijimisaada vya uongo na kweli, afu ww kwa uzuzu wako na umbulula wako unampigia makofi na kumtukuza kwa kumshukuru!? Upumbafu ni janga baya kuliko majanga yote yanayoweza mpata mwanadamu! Pole yako!

Sent using Hapa Chadema tu
 
Back
Top Bottom