Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kumbuka wewe ni maskini na juzi tu umeomba msaada wa kupamba na korona alafu leo unasema hawata thubutu kukanyaga tz daah.Sio Gwajima, hii issue inajulikana kabla hata Gwajima hajasema chochote, Mh. Rais wetu Magufuli anajua kila kitu kuhusu hawa wazungu, na Tanzania hawatadhubutu kukanyaga.
Kwahiyo hao Wasenegal siyo binadamu wenye utashi wao?Hivi Senegal unajua rais wao kawekwa pale na nani?
Ukubwa wote haujui convention ya US$ to Tsh,???Fuatilia habari za CNN ,New York Times n.k au wee bando lako una Google porn*??Hivi mnazipata wapi hizi habari za kipuuzi. Unajua usd 200m ni sawa na bei gani au unaongea tu
Hahahaha, lipeleke tu barua ya maombi likafanywe panya la majaribio, hahahahahah!!!!Sasa wewe mbona umekaa kaa hapa si uombe ufanywe sokwe wa majaribio
Wewe sikiliza video kwa makini, amesema kwamba kule ulaya watawapa 'placebo' tu ili waAfrika tusishangae kwanini inaletwa kwetu halafu kwao hawapeani, placebo maana yake ni wanapewa chanjo hewa ambayo ni sawa na maji tu (placebo) lakini huku Afrika sasa ndio wanatupa hiyo chanjo yenyewe kabisa ili kuona kama inaua au vipi, wakuona haina madhara na inafaa basi ndio wanaenda kuwapa 'binadamu' huko ulaya, sisi ni masokwe tu wamajaribio kwa mtizamo waoIyo chanjo tayari inafanyiwa majaribio ulaya na Australia. Anachosema uyo doctor ni kwamba ijaribiwe na africa pia na ameelezea vizuri kwann. Skilizeni ushauri wa wataalamu, achana na uyo mtangazaji kwenye video ni mpuuzi tu hakuna anachoelewa. Kwanza yeye sio mwafrica ni mmarekani mweusi. Amezaliwa na kukulia marekani haujui chochote kuhusu africa. Eti hajui hata samuel etoo ni nani alaf anajiita mwafrica
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah, yaani kwa Magufuli wamenoa aiseee, hapa ndio huwa nashukuru kwa kuwa na Rais mwenye msimamo mkali...!
Hivi nyie watu mmetokea wapi? Mbona mnaandika kama mmekatwa vichwa jamani, hiiii...!!!!Waafrica wanachojua nikulalamika lakini ukiwaambia Tengenezeni hata dawa ya Cov19 awawez ..wanakujibu eti cov19 imetengenezwa na wazungu.
Sisi Africa tunachoweza nisiasa chafu kama za ccm
Sent using Hapa Chadema tu
Sasa wewe jamaa si uombe uwe lisokwe la majaribio? Kwani nani amekukataza?Nitakuletea picha za Watanzania wenzetu waliuwawa na miili yao iko kwenye viroba
Mauwaji ya Watanzania huko rufiji
Azory gwanda Ben saanane Alphonce mawazo na Maelfu ya Watanzania wa huko Zanzibar waliouwawa na Wakoloni weusi
Najua unaelewa nilichomaanisha ila unajitia kiburi tu, be sensible, sio kuketa irreasonable questions, when you have a puppet leader(almost all former french colonies have puppet leaders na ndio watakubaliana na hili), you are finished, 'puppet master' akiamua leo wote mnazibuliwa mitaro basi mtafokolewa kweli, mtake msitake!Kwahiyo hao Wasenegal siyo binadamu wenye utashi wao?
Aisee mimi wakija ntakuwa wa kwanza kukinga begaSasa wewe jamaa si uombe uwe lisokwe la majaribio? Kwani nani amekukataza?
Kinamilikiwa na wazungu?Kuna kituo kimoja Wilsyani Kilombero ndiyo shughuli zake hizi kwa miaka mingi sana.
Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio waende wakawape binadamu huko Ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.
SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!
Kinamilikiwa na wazungu?
Japo dar..kipo wanatengeneza mbu wa kuua mbu waletao maralia!
Hadi huruma...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja kwa hoja chiefHaya, tanua mak*lio yako hao waume zako wakufokoe sasa...
Gwajima anadandia taarifa na kuzitoa kwa wafuasi wake akiwaaminishwa kuwa kazipata toka kwa Mungu. Anawashika wengi kweli kwa udanganyifu huu. Ikimbukwe Gwajima aliwaambia kuwa Corona haitaingia aslani Tanzania. Ilipoingia akabadilisha rangi kama kinyonga. Ogopa sana mtu huyu.Sio Gwajima, hii issue inajulikana kabla hata Gwajima hajasema chochote, Mh. Rais wetu Magufuli anajua kila kitu kuhusu hawa wazungu, na Tanzania hawatadhubutu kukanyaga.
Mtoto wa kambo haishi malalamiko hata umfanyie jemaWaafrika tunatia aibu kwa kulia lia na kuwa wavivu wa kufikiria duniani kote
Inaweza kuwa kweliMtoto wa kambo haishi malalamiko hata umfanyie jema
Waingereza ndo taifa ambalo linawapenda wananchi wake hata limesema litawalipa watakaokaa katantini na wamesema watalipa usd 3000 kwa watakaojitolea. Nani akulipe usd 200 m kwa kujitolea?Ukubwa wote haujui convention ya US$ to Tsh,???Fuatilia habari za CNN ,New York Times n.k au wee bando lako una Google porn*??