Uwe kibaraka au usiwe, ukweli ni kuwa huna cha kujivunia mbele ya mabeberu.Muulize kiranja wako atakuambia ukweli uliojificha.Hata Ndugai analijua hilo suala.Najua unaelewa nilichomaanisha ila unajitia kiburi tu, be sensible, sio kuketa irreasonable questions, when you have a puppet leader(almost all former french colonies have puppet leaders na ndio watakubaliana na hili), you are finished, 'puppet master' akiamua leo wote mnazibuliwa mitaro basi mtafokolewa kweli, mtake msitake!
StrangeBaada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio waende wakawape binadamu huko Ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.
SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!
Jamaa anahitaji kueleweshwaUwe kibaraka au usiwe, ukweli ni kuwa huna cha kujivunia mbele ya mabeberu.Muulize kiranja wako atakuambia ukweli uliojificha.Hata Ndugai analijua hilo suala.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Ukweli ni kwamba hatuwezi.Sio asili ya waafrica kufanya unyama wa hivyo! Na wala siwezi uita ujanja, ni ushetani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli ni ndugu zetu wa karibu hao primates
Lakini unyama wa kuuana sisi kwa sisi ndio tunauweza sio na unyama wa kuwaibia waafrika wenzetu maliasili zao na kujinufaisha wenyewe huku waafrika wenzetu wakifa kwa njaaSio asili ya waafrica kufanya unyama wa hivyo
Dar ofisi yao ipo maeneo ya Mikocheni.Kinamilikiwa na wazungu?
Japo dar..kipo wanatengeneza mbu wa kuua mbu waletao maralia!
Hadi huruma...
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio waende wakawape binadamu huko Ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.
SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!
Wazungu ndio wanatufunga kwenye viroba na kututupa baharini?Haya ninyi ambao kila kukicha mnatetemekea wazungu na mitazamo yenu ya kitumwa mkiongozwa Tundi Lisu, Zito na Mbowe, mmesikia mabwana zenu wanavyowawazia eeh!
Wazungu hawajawahi kutuchukulia sisi weusi kama binadamu wenzao...na kwa bahati mbaya weusi wenzentu wenye mitazamo ya kitumwa ndio wamekuwa wakitusaliti na kutuletea matatizo yote!
Mababu zetu (wale wa kale) walionewa na walipata tabu sana.Kuwa mkweli wewe unakumbuka vizuri wale wakina CARL PETERS,alijiita/aliitwa mkono wa Damu? Vitu vingine ni kuwa na uhalisia sio kuweka uchama hapa kwenye hii mada. Afu mtu msomi huwa analogic kwanza ndo anaongea ni ngumu kumkuta msomi anaongozwa na hisia au kuongea bila kufikiria sana.
Nipe source ya ilotoa dau ulotaja weweMajaribio yanafanyika kwa mda wa miezi 14 na unatakiwa ku attend Clinic angalau mara 11 na kila ukienda Clinic unalipwa .
Mataifa yaliyojitokeza kwa kufanyia majaribio chanjo zao yapo km matano na kila moja lina dau lake.
Kama swala la kuungana Africa lingetimia bas leo tungekua mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Watawaletea na mtaitumiaOle wake waje.
Tutawa amber rutty, shauri zao
Wachina na wazungu ni watu wale wale!Binafsi napendekeza Viongozi wa Africa wakubali tu Chanjo zitakazo letwa na Wachina sio wazungu
IIsije kuwa kama makaburu walivyofanya wakati wa mapambano Msumbiji ni Angola walijidai kuwa wanawadunga watoto kinga kumbe ilikuwa ni virusi vya umeme. Niliwahi kuleta clip ya video inayohusu hili ila naona management ya JF haikuruhusu hilo.Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio waende wakawape binadamu huko Ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.
SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!
Wewe guinea pig wao nenda basi wakakutumie watakavyo maana kwa mtazamo wako, hata kukuelewesha ni sawa na kutwanga maji kinuni!Wazungu ndio wanatufunga kwenye viroba na kututupa baharini?
Wazungu ndio wanatupiga risasi hadharani?
Wazungu ndio wanatusakizia kesi zisizo na dhamana ili tuozee jela?
Wazungu ndio wanavunja mikono MP mwanamke??
Tunayofanyiana wenyewe kwa wenyewe ni zaidi ya wazungu wanayotufanyia