Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Jikite kwenye ukweli wa hoja.Achana na hayo mengine.Ukweli ni kuwa, Afrika hatuna mchango wowote wa kisayansi kwa dunia.Hopeless Africa.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Kwani nani kabisha? Hiyo ndio hoja hapa?
 
Uwe kibaraka au usiwe, ukweli ni kuwa huna cha kujivunia mbele ya mabeberu.Muulize kiranja wako atakuambia ukweli uliojificha.Hata Ndugai analijua hilo suala.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Kwani nani amebisha hilo? Hii ndio hoja hapa?
 
Lakini unyama wa kuuana sisi kwa sisi ndio tunauweza sio na unyama wa kuwaibia waafrika wenzetu maliasili zao na kujinufaisha wenyewe huku waafrika wenzetu wakifa kwa njaa
Kwani nani kabisha? Hiyo ndio hoja hapa?
 
Binafsi napendekeza Viongozi wa Africa wakubali tu Chanjo zitakazo letwa na Wachina sio wazungu
Napendekeza tujijengee uwezo wa kutengeneza chanjo zetu wenyewe, we need to start somewhere, no matter how low, but its a start, capacity building is vital
 
Hahah, kwani nani amebisha hilo humu? Hii ndio hoja hapa?
 
Kwa maisha ya kiafrica wachache watakwepa hii, chezea hela wewe? Watatafutiwa mwanya wa kuingia tu, popote watapopata gap, bas kaz yao itakuwa imekamilika.
Na ndio maana tunaisihi serikali yetu kuchukua tahadhari dhidi ya hila na njama hizi za kishetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…