Video inafikirisha sana

Hufati maelekezo yake ndiyo maana unateseka.
Kwenye hii Dunia madhila huwa yanatupata wote. Unaweza kuwa na Hela ukakumbuna na madhila ya vita. Magonjwa na watoto wasioleweka.. hata manabii na mitume walipitia madhila makubwa Sana.
 
Kwenye hii Dunia madhila huwa yanatupata wote. Unaweza kuwa na Hela ukakumbuna na madhila ya vita. Magonjwa na watoto wasioleweka.. hata manabii na mitume walipitia madhila makubwa Sana.
Ni nini kinyume cha "madhila"?
 
Naona kama wa kwanza ungeanza kuwalaumu wazazi wako, unawafahamu? Au ni mtoto wa bahati mbaya?
 
Ni nini kinyume cha "madhila"?
Furaha. Kwani huko uarabuni kinachoendelea hakuna watu wanaoufata dini sawa sawa. Lakini madhila anapokuja yanawakuta. Chukukia mfano wa tetemeko la ardhi uturuki. Vita inayoendelea huko Palestine.
 
Ulijuwaje?
Tunaishi katika ulimwengu uliathiriwa na dhambi ukubali ukatae. Tunakutana na mateso na madhila makubwa Sana na yanatupata wote. Uwe ni muumini wa dini au la. Utakutana nayo tu. Wenye nguvu wanaonea Sana maskini Tena sana.
 
Mwenye nguvu ni yupi na masikini ni yupi?

Inahusiana nanini na watoto watakaozaliwa?
 
Mlinataka mkaishi wapi? Maovu yote ni matokeo ya fikira za binadamu, hata mpelekwe sayari nyingine mtaharibu tu kutokana na kushindwa kutumia akili vizuri.
 
Mwenye nguvu ni yupi na masikini ni yupi?

Inahusiana nanini na watoto watakaozaliwa?
Ninawaza ninavyoishi Kwa mateso.ninyopitia ni makubwa Sana Watoto zinaozaa wataishije? Wanakuja jehanamu yenyewe
 
Ninawaza ninavyoishi Kwa mateso.ninyopitia ni makubwa Sana Watoto zinaozaa wataishije? Wanakuja jehanamu yenyewe
Ànza kuwalaumu wazazi wako kwa kutokufata utaratibu wa maisha waliowekewa na muumba wao, unawafahamu?
 
Halafu kuna wanasiasa account zao zimejaa hadi kutapika pesa za wizi za walipa kodi
 
NI Wewe (feat. Godfrey Steven) by Mathias Walichupa Shazam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…