Video: Inasemekana msanii wa muziki Ferouz hali ngumu akiuza Samaki Mchele kitaa

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya!
 
Maisha ni kama kioo ukicheka nayo yanacheka.

Hakuna kitu kibaya hapa Duniani kama shida.

Maisha kupambana.

Maisha ni kitendawili,Maisha ni fumbo.

Tuendelee kupambana na changomoto za Maisha.Amina
Umenifanya nitafakar mara mbili mbili.
 
Ili si la kutetea.
Hela zake za muziki kapeleka wapi?.
Ilo ni funzo fainali uzeeni.
Tujifunze kuweka akiba.
Alikuwa na mawazo ya kujiweka vizur kuliko haya, but life sio hadithi ya kutunga, let pray sana tusipitie wanayopitia wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…