Video: Inasemekana msanii wa muziki Ferouz hali ngumu akiuza Samaki Mchele kitaa

Video: Inasemekana msanii wa muziki Ferouz hali ngumu akiuza Samaki Mchele kitaa

Labda yuko location kwa single yange mpya ya dagaa Mchele samaki.Km ni kweli maisha hayana formula kutesa kwa zamu,kupanda na kushuka.Maana hata mapapaa siwaoni siku hizi.
 
Ila wasanii wengi wa zamani wamechoka sana, hivi kweli Inspector Harun ni mtu wa kufikia kuomba serengeti lite moja ilibidi nimpe mbili. Anatoka anenda kituoni anapanda daladala za Temeke huyo anaondoka daah nilisilitika sana, nikikumbuka ile mtoto wa geti kali ilivyofanya mageuzi kwnye music wa bongo flavour niliumia sana.
 
Kuna jamaa alikuja kwenye bday ya mwanangu mwaka flani aitwa Hammer Q, aisee amechoka jamaa nikamtoa 5,000 ila kipindi sana. Nilishangaa lkn pia nilihuzunika
 
Back
Top Bottom