Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Mbona huyo muuza samaki sio Feruzi?
Tazameni kwa makini siyo yeye japo wamefanana mtindo wa kunyoa na usoni.
Tazameni kwa makini siyo yeye japo wamefanana mtindo wa kunyoa na usoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya!
Unamjua vizuri lakini feruz wewe au unabisha tuHuyo si feruz. Ni ujinga kumsingizia hivyo na ili upate nini
Wewe unamjua zaidiUnamjua vizuri lakini feruz wewe au unabisha tu
Sijatetea ndio halisi, kama hela zake alitumia zikaisha ndio hawezi kuzitegemea tema, hii ndio hali aliyonayo acha apambane nayo kuliko kutegemea yaliyopitaIli si la kutetea.
Hela zake za muziki kapeleka wapi?.
Ilo ni funzo fainali uzeeni.
Tujifunze kuweka akiba.
Rudi tu baba huko nako hakufaiInaweza ikawa ni biashara ama maafa kweli tym will tell " nakwenda zimbabwe "
Ntakukumbusha nakupa weekWewe unamjua zaidi
Yeye mwenyewe kapigiwa simu kakubari ndiyo yeye kalalamika kwanini wanrekodi wasanbaze video yake akiwa kwenye mishe zake wakati anaishi maisha yake?Huyo si feruz. Ni ujinga kumsingizia hivyo na ili upate nini
Ni kweli, huyo si ferouz!Mbona huyo muuza samaki sio Feruzi?
Tazameni kwa makini siyo yeye japo wamefanana mtindo wa kunyoa na usoni.
Ndugu yangu, hili ndio la msingi na maana saana kuliko yote, ila wengi tumeghafilika nalo namuomba Allah atuzindue.Mwisho ni bora kuliko mwanzo. ,,YA RABI NIJAALIE MWISHO MWEMA..INSHAALAH
Hiyo ni kiki tu ya video mpya, tangu lini mchele ukauzwa kwenye kikapu? Kalaghabaho[emoji53]
Ameen....ndugu yng hakika nikiifukiria kesho yangu ya DUNIA NA AKHERA machozi yananitoka..Ndugu yangu, hili ndio la msingi na maana saana kuliko yote, ila wengi tumeghafilika nalo namuomba Allah atuzindue.
Una akil sanaHiyo ni kiki tu ya video mpya, tangu lini mchele ukauzwa kwenye kikapu? Kalaghabaho[emoji53]