Mku ukiona hivyo ujue inamlipaHivi ferooz akienda chato hawezi fanya shoo! mpaka afikie hatua ya kutembeza dagaa...NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI katika hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mku ukiona hivyo ujue inamlipaHivi ferooz akienda chato hawezi fanya shoo! mpaka afikie hatua ya kutembeza dagaa...NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI katika hili.
Hivi leo wewe una chumba kimoja....lakini miaka ya nyuma ulikuwa tajiri mkubwa wa kumiliki majumba na magari kadhaa mjini...sasa tutaacha kukusikitikia?au tukupo moyo kwa lipi?HIVI KUUZA MCHELE NA SAMAKI NI KAZI NGUMU AU UJASIRIAMALI? BADALA YA KUMPONGEZA NA KUMPA MOYO SISI TUNAMKATISHA TAMAA
SI AJABU WEWE HATA KULA YAKO YA KUBAHATISHA LAKINI UMEKALIA YA WENZAKO, KWA VILE TU UMEJIFICHA NYUMA YA KEYBOARDHivi leo wewe una chumba kimoja....lakini miaka ya nyuma ulikuwa tajiri mkubwa wa kumiliki majumba na magari kadhaa mjini...sasa tutaacha kukusikitikia?au tukupo moyo kwa lipi?
Ni kweli mkuu nina maisha magumu.....ila hayajafikia ya FERUZI....naomba MUNGU anipe mwisho mwema...AMEENSI AJABU WEWE HATA KULA YAKO YA KUBAHATISHA LAKINI UMEKALIA YA WENZAKO, KWA VILE TU UMEJIFICHA NYUMA YA KEYBOARD
PAMBANA NA HALI YAKO, MWENZAKO ANAPAMBANA NA HALI YAKE NA HAJAONA KAMA MAISHA MABAYANi kweli mkuu nina maisha magumu.....ila hayajafikia ya FERUZI....naomba MUNGU anipe mwisho mwema...AMEEN
Kupambana hali yako kwa style ya kuvuta madawa ya kulevya ndy maisha?badala ya kumsikitikia mwenzenu mnampamba upuuzi...PAMBANA NA HALI YAKO, MWENZAKO ANAPAMBANA NA HALI YAKE NA HAJAONA KAMA MAISHA MABAYA
mkuu watu wa bara kuna baadhi ya maneno yetu ya pwani hawayajui kabisa😀Dagaa mchele (samaki)
kuuza mchele na dagaa ndio madawa siku hiziKupambana hali yako kwa style ya kuvuta madawa ya kulevya ndy maisha?badala ya kumsikitikia mwenzenu mnampamba upuuzi...
Kwani akishapata pesa anazipeleka wapi? Hivi unadhani kama sio kuvuta madawa haya MATEJA yangekubali kufanya kazi wanazofanya? Kujipatia kipatokuuza mchele na dagaa ndio madawa siku hizi