Video: Inasemekana msanii wa muziki Ferouz hali ngumu akiuza Samaki Mchele kitaa

Kuuza samaki ni kazi kama nyingine, ninachomshauri mimi afue nguo na kuoga maji maana joto la Dar anaweza kupata ukurutu.
 
Hata kama ni yeye bora kuliko kuikaa vichochoroni na kupora watu afya yenyewe magharibi imeisha ingia hata nguvu za kutoka mkuu upepo umekata hana. Kuhusu kuhukumu ndio zetu binadamu wengi.
 
Hivi ferooz akienda chato hawezi fanya shoo! mpaka afikie hatua ya kutembeza dagaa...NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI katika hili.
 
huyu msanii inaonekana hii ilikuwa kazi yake na inampendeza sasa ukimwangalia sura yake na mdomo wake tu utajua muuza hao na kikapu chake kama kwenye kitabu vile aweke na kibagharashia itakaa mwake sana
 
true mkuu
 
Hiyo ni kiki tu ya video mpya, tangu lini mchele ukauzwa kwenye kikapu? Kalaghabaho[emoji53]

Nasikia anasema dagaa mchele na sio samaki!!!

Kiki za bongo zinajulikana tuu
 
Hiyo ni kiki tu ya video mpya, tangu lini mchele ukauzwa kwenye kikapu? Kalaghabaho[emoji53]
teh..teh... watakucheka! watakujua kuwa wewe ni wa mkoani! ndo mana kalumanzila alivyofika mjini akajiita brother K ili wasimtilai!
 
Sio ferouz huyu ni mtu wamefanana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…