Ni dagaa mcheleHiyo ni kiki tu ya video mpya, tangu lini mchele ukauzwa kwenye kikapu? Kalaghabaho[emoji53]
Hauzi mchele buana we vp?kuuza mchele na dagaa ndio madawa siku hizi
Sikiliza wimbo huo aliokuwa anafanya shooting, unawahusu HATERS, nafikiri hata wewe unakuhusu.Unataka tumchangie au .
Mwache apambane na hali yake
Ikurudie .Sikiliza wimbo huo aliokuwa anafanya shooting, unawahusu HATERS, nafikiri hata wewe unakuhusu.