Video: Inawezekana kuukamata Ushirikina kwa Video ikiwa kwa macho ya nyama huoni?

Video: Inawezekana kuukamata Ushirikina kwa Video ikiwa kwa macho ya nyama huoni?

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani chumbani mwako. Inaweza mrecord mwanga?

Je hii video ni halisi au AI?
 
viandunje(midgets) vimevaa costume za ajabu ajabu.

halafu hapo sio bongo, lugha inayotumika sio kiswahili.
 
Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani chumbani mwako. Inaweza mrecord mwanga?

Je hii video ni halisi au AI?
View attachment 3227089
Hivyo vi picha vya kutengeneza na ARTIFICIAL INTELLIGENCE ndio unaziona Leo? Zipo nyingi Sana kwenye mitandao wanachanganya wanyamabalimbali na kuyafanya masanamu kutembea
 
Back
Top Bottom