Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

Kwahiyo we ukitishiwa kuuawa unaanza kupiga kelele mtaani hadi jeshi la polisi lipeleke kesi mahakamani?
 
Kwa hiyo ukitukanwa ,ukiibiwa Au ukipigwa inabidi usubiri mpaka jeshi la polisi limshitaki mtuhumiwa ?
 
Kwa hiyo ukitukanwa ,ukiibiwa Au ukipigwa inabidi usubiri mpaka jeshi la polisi limshitaki mtuhumiwa ?

..Polisi wakipata taarifa ya tukio la uhalifu wanawajibika kuchunguza na kuwakamata waliohusika.

..Baada ya hapo wanapeleka ushahidi walioupata kwa Dpp ambaye ofisi yake ina jukumu la kufungua kesi.

..Mhanga wa uhalifu jukumu lake ni kutoa ushahidi kama utahitajika. Hana mamlaka ya kisheria kufungua kesi ya makosa ya jinai.

Cc Sang'udi , DAMA2025
 
Yeye ameulizwa swali siyo yeye ameleta hoja ya Makonda,ila makonda kwenye mikutano yake ndiyo haishi kuitaja Chadema, Mbowe na Lissu
Angeweza kuwaguide waandishi

He is good at it
 
Acheni ufala Lissu hana ajenda ana siasa za Chuki Kazi yake ni kupandikiza chuki Kati ya VIONGOZI wetu na Wananchi hana jipya

..wanaopandikiza chuki ni viongozi wa Ccm wasiowajali wananchi waliowaweka madaraka.

..hebu angalia maelfu ya wananchi wanaojitokeza ktk mikutano ya Makonda wakilalamika kunyimwa haki.

..Je, wananchi wanaonyimwa haki watawapenda au kuwachukia viongozi walioko madarakani? Je, Lissu ndiye aliyesababisha wananchi hao wanyimwe haki?
 
Tundu Lissu ameshapoteza sifa ya kuwa kiongozi
1. Ana kisasi (vengeance)
2. Ana chuki hatred)
3. Mbaguzi (selective)
4. Anajadili watu badala ya masuala (kumshambulia Makonda kwa tuhuma asizoweza kuthibitisha popote)
5. Amepoteza mvuto
6. Kumwongelea vibaya JPM halina tija kwake hata kidogo
7. Uroho wa umimi zaidi ya usisi kwa pamoja tunashinda

Apuuzwe nashauri CDM mgombea urais awe ni John Mnyika huyu ana sifa zote maana hujadili masuala tu tena kwa ushahidi usio na shaka na hashabikii kumjadili mtu kwa nia ya kumchafua na kumwondolea heshima kwenye jamii (character assassination)

JOHN MNYIKA anafaa kugombea Urais 2025 natumai atakuwa amefikisha umri wa miaka 40
 
Huyu Lissu ni wakili mpumbavu, anatoa madai mitaani mahakamani haendi kwanini?
Wewe nadhani you were conceived from urine mixed with sperms not pure sperm cells and if sperms , then they were genetically defective .
Jinai inapelekwa mahakamani na serikali....... It is not our practice in our jurisdiction to have private prosecution and if so it is stringent to exercise it!
 
uongeaji wa uswahilini kabisa 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
mipasho anaiweza sana huyo mjamaa 🐒

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…