Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

Umekalia kumtetea huyo jamaa kila siku. Eti oh kesi ya jinai, sijui nini; upuuzi mtupu, wallahi.
Kuna lile tukio la kigoma, Jamaa aliyeua familia.

Kahukumiwa majuzi hapa...Umejiuliza ilikuaje hadi kukamatwa kwake yule mtuhumiwa ?

Ukijiuliza ukapata majibu utakuja kurekebisha kauli
 
Kama ana ushahidi anapashwa kwenda kufungua kesi Polisi ili wafanye upelelezi lakini kwa kuwa Lissu anajua anataka kucheza na akili za nyumbu kama wewe basi ataendelea kuongea ujinga na nyumbu kama wewe wataendelea kushangilia kinyumbunyumbu tu lakini hakuna la maana hapo.
 

..Polisi tayari wana taarifa kwamba Lissu alishambuliwa.

..Wanatakiwa wafanye uchunguzi na kuwakamata waliohusika.

..Tunaelekea mwaka wa 7 tangu Lissu ashambuliwe, na Polisi wameshindwa kutoa majibu.

..Kuna dalili kwamba Serikali inawalinda waliojaribu kumuua Lissu.
 
Chawa wa Mama!
 
Wewe ndio Mwanaccm mwenye maana ktk wengi.
Utu ni muhimu kulivyo vyama.

Hongera sana
 
Tukio hilo nafikiri lilishafunguliwa Polisi na shahidi namba moja ni dreva ambaye aliona kila kitu pia Lissu mwenyewe sasa kwanini hawajaenda Polisi kutoa maelezo na ushahidi bali amebaki kutoa maneno kwenye vyombo vya habari tu. Na huyo dreva mbona haonekani kabisa TZ? Hivyo ndivyo vitu vya kujiuliza sisi tulisoma Cuba!! Ila nyumbu ni shida ya dunia.
 
Next step ipi?
Ulishawahi kuona Raia anaenda kushtaki Jambazi?

Majambazi wanashtakiwa na Jamhuri
 
Hata neno lenyewe umeshindwa kuliandika umeishia kuandika K tu utakuwa na maana wewe!!? Au wewe na K ni sawa?
Jomba mlishaambiwa na Zitto mkazikwe pembeni ya kaburi la shujaa wenu. Unasubiri nini?
 
Next step ipi?
Ulishawahi kuona Raia anaenda kushtaki Jambazi?

Majambazi wanashtakiwa na Jamhuri
Amwandikie DPP na kuthibitisha hayo mashtaka yake, ila yeye kutofanya chochote na kuendelea kulalamika kwenye media bila kutoa evidence m naita huo ni utafutaji wa kiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…