Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Kuna lile tukio la kigoma, Jamaa aliyeua familia.Umekalia kumtetea huyo jamaa kila siku. Eti oh kesi ya jinai, sijui nini; upuuzi mtupu, wallahi.
Kahukumiwa majuzi hapa...Umejiuliza ilikuaje hadi kukamatwa kwake yule mtuhumiwa ?
Ukijiuliza ukapata majibu utakuja kurekebisha kauli