Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mtaendelea kuaibika tu.Amwandikie DPP na kuthibitisha hayo mashtaka yake, ila yeye kutofanya chochote na kuendelea kulalamika kwenye media bila kutoa evidence m naita huo ni utafutaji wa kiki tu
Kichaa tu. Eti marekani wanatusaidia mambo mengi labda wanamsaidia yeye.View attachment 2902078
Kwa ufupi;
##Pamoja na kusimulia kwa kina juu ya uhusika wa Paul Makonda kuratibu shambulio la jaribio la kumuua kwa risasi mwaka 2017, Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa upande wa Tanganyika ameeleza mambo mengine mengi yakiwemo;
1. Maoni yake juu ya ziara za Paul Makonda mwenezi wa CCM mikoani.
√ Huyu ni kivuli au photocopy ya John P. Magufuli. Tofauti ni kuwa, Magufuli alikuwa na dola. Huyu anafanya kwa kivuli cha Rais Samia Suluhu Hassan.
√ Kama CCM wameamua kumtumia mhalifu aliyepaswa kuwa gerezani ili kukifufua chama Chao kilichokufa, basi ni wazi hakuna chama hapa!!
2. Madai ya kuwa ana uraia wa ubelgiji.
√ Amesema, wasemao hivyo ni watu wasio na akili timamu...
√ Na mtu anayemuuliza swali sanasana anakuwa tu anajidhalilisha yeye
3. Madai kuwa ameoa mzungu.
√ Kwanza alicheka sana. Na kisha akasema amemsikia Paul Makonda akisema hayo. Akajiuliza huyu mwanaume mwenzake mbona ana wivu? Anataka nini toka kwake (Lissu)?##Tazama na fuatilia mahojiano haya ya dakika 23:33 ujifunze na kujua mengi zaidi juu ya nchi hii na utawala wa CCM..
Polisi gani? Hawa wanaotembea na Ilani za CCM?Polisi na vyombo huru vifanye uchunguzi ili tuepukane na hizi bla bla za maneno matupu
Hao hao wakiamua wanawezaPolisi gani? Hawa wanaotembea na Ilani za CCM?
Hao wasiojua kusoma Police General Orders lakini wanajua kusoma Ilani za Chama cha Mambuzi?Hao hao wakiamua wanaweza
Kwani uongo jamaa sio chiba?Sawa wewe mzima
Mkuu Imhotep hao hao wakiamua wanawezaHao wasiojua kusoma Police General Orders lakini wanajua kusoma Ilani za Chama cha Mambuzi?
Sasa mbona hawafanyi kazi yao ipasavyo?Mkuu Imhotep hao hao wakiamua wanaweza
Kwasababu wewe ni MPUUZI.Upuuzi mtupu.
Wewe ni Pumba sana!!Huyu Lissu ni wakili mpumbavu, anatoa madai mitaani mahakamani haendi kwanini?
Hata wewe ni mpuuzi tu.Kwasababu wewe ni MPUUZI.
Mahakama gani, hizi hizi ambazo hata Makonda anawaambia wananchi kuwa hawawezi kupata haki huko maana hazitendi haki?!!Huyu Lissu ni wakili mpumbavu, anatoa madai mitaani mahakamani haendi kwanini?
Mahakama hizi ambazo majaji ni wateule wa raisi, mwenyekiti wa CCM, ambaye Makonda ni kibaraka wake? 🤔Huyu Lissu ni wakili mpumbavu, anatoa madai mitaani mahakamani haendi kwanini?
Hahaha,Umri unaenda wewe mjinga.Tangu uvunje ungo hadi leo unaitwa bibi,hukui tu?
Wakati akiwa anatibu Ubelgiji......Police: Tunamtaka Mhanga aje atoe Maelezo.Wewe ni Pumba sana!!
Hao polisi mbona hawakufanya uchunguzi na Gari yake walikaa nayo.
Aliporudi si wangetekeleza wajibu wao.
Nawewe unachangia Pumba!!
Nilimchokoza tu baada ya kulewa gongo yangu.
Ukiambiwa ukunjwe na uchojoe na Magonjwa Mtambuka uko tayari?
Binuka nikubamize.Nilimchokoza tu baada ya kulewa gongo yangu.
CCM wanajivunia sana kuwa na wajinga kama Kadhi Mkuu 1
Huyu hua anafikiri yeye kupigwa risasi ni ujiko kupata urais. Amegombea na kuangukia pua vibaya lakini anajidai eti alishinda ila kaibiwa kura🤣😂PART THREE YA INTERVIEW YA TUNDU LISSU:
View attachment 2902098
Aendelea kumchanachana Paul Makonda...