Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

Amwandikie DPP na kuthibitisha hayo mashtaka yake, ila yeye kutofanya chochote na kuendelea kulalamika kwenye media bila kutoa evidence m naita huo ni utafutaji wa kiki tu
Mtaendelea kuaibika tu.
 
View attachment 2902078
Kwa ufupi;

##Pamoja na kusimulia kwa kina juu ya uhusika wa Paul Makonda kuratibu shambulio la jaribio la kumuua kwa risasi mwaka 2017, Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa upande wa Tanganyika ameeleza mambo mengine mengi yakiwemo;

1. Maoni yake juu ya ziara za Paul Makonda mwenezi wa CCM mikoani.

√ Huyu ni kivuli au photocopy ya John P. Magufuli. Tofauti ni kuwa, Magufuli alikuwa na dola. Huyu anafanya kwa kivuli cha Rais Samia Suluhu Hassan.

√ Kama CCM wameamua kumtumia mhalifu aliyepaswa kuwa gerezani ili kukifufua chama Chao kilichokufa, basi ni wazi hakuna chama hapa!!​

2. Madai ya kuwa ana uraia wa ubelgiji.

√ Amesema, wasemao hivyo ni watu wasio na akili timamu...
√ Na mtu anayemuuliza swali sanasana anakuwa tu anajidhalilisha yeye​

3. Madai kuwa ameoa mzungu.

√ Kwanza alicheka sana. Na kisha akasema amemsikia Paul Makonda akisema hayo. Akajiuliza huyu mwanaume mwenzake mbona ana wivu? Anataka nini toka kwake (Lissu)?
##Tazama na fuatilia mahojiano haya ya dakika 23:33 ujifunze na kujua mengi zaidi juu ya nchi hii na utawala wa CCM..
Kichaa tu. Eti marekani wanatusaidia mambo mengi labda wanamsaidia yeye.
 
Back
Top Bottom