VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili.

VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.
Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii.

Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab -1 Shahab-2 Shahab -3 pia wana Qiam wana Ghadr wana Zolfaghar missiles. Haya kwa uchache tu.

Pia wana Makombora na Silaha hawajawahi kuzitumia wamesena wanaweza kuanza kutumia dhidi ya Urusi.

Pia wana silaha na makombora ambayo wamenunua Korea Kaskazini na Urusi wamezifanyia marekebisho.

Pia wana silaha ambazo ni siri yao wamesema pia.


View: https://x.com/presstv/status/1780532350788473034?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom