Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Akagombee Ubunge kupitia ccm maana alikua kada mtiifu wa chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kuthibitisha tu kuwa Jiwe hata ukijipendekeza vipi, itategemea kaamkaje siku hiyo............Huyu ni RPC wa Arusha akishiriki tamasha la ccm , lakini leo kang'olewa bila huruma .
Shetani hana rafiki
Because of their incompetences the only way to satisfy their boss is to play silly games like this. They will never be professional.Huyu ni RPC wa Arusha akishiriki tamasha la ccm , lakini leo kang'olewa bila huruma .
Shetani hana rafiki
kapelekwa wapi uyo shabiki wa CCM?Huyu ni RPC wa Arusha akishiriki tamasha la ccm , lakini leo kang'olewa bila huruma .
Shetani hana rafiki
Yesu wa chatoKwani alitumwa na nani ?
Cha muhimu pesa
Kwani mtumishi akiwa demoted , salary scale nayo inashuka ?Kwa akili yako huko anakokwenda na alipokwepo ni wapi kwenye hiyo pesa mingi unayosemea??
Mbwembwe hizo kuwanasa wanyonge,Huyu ni RPC wa Arusha akishiriki tamasha la ccm , lakini leo kang'olewa bila huruma .
Shetani hana rafiki
Kwani mtumishi akiwa demoted , salary scale nayo inashuka ?
Tukiacha pesa zisizo halali kama za rushwa ambazo ni kweli atazikosa.
Yule mzee ni O kabisa akaendelee kuisifu chakavu akiweza akajiunge na malaga kabisaKwahiyo amerudi kusoma MAGAZETI SENTERO?
Ndio maana nikasema zile pesa zisizo halali ni kweli atazikosa, ila mshahara wake utakuwa ule ule kulingana na cheo chake kwenye jeshi husikaAtakosa vikao vingi vya wakubwa kule mkoani au wakija wageni mbalimbali (posho na fursa hizooo), pia atakosa fursa ya kuuza sura na kuselebuka kwenye TV na mitandaoni....
Kitambi cha rushwa ya maumivu ya wananchi.Huyo Mzee ni mshamba wa maisha na kitambi chake cha minyoo mwacheni akaifie mbele ya Safar
Huyu mzee ametudharirisha wa sabato acha wamtimueHuyu ni RPC wa Arusha akishiriki tamasha la ccm , lakini leo kang'olewa bila huruma .
Shetani hana rafiki
Umejiwazia kama mimi hawa wanaofurahia hapa siasa za Africa hawazijui vizuri ingekuwa ulaya wangeshajiuzulu nyazifa zao zamaani na kuwaomba radhi wananchi na wakarudi mitaani kuwa kama raiya wengine Demokrasia ni uwanja mpana sanaKipato chake kimetetereka ?
Na lugoraYaani kuthibitisha tu kuwa Jiwe hata ukijipendekeza vipi, itategemea kaamkaje siku hiyo............
Kama ameamka na "mashetani" yake yanafurahia kulambwa miguu, wewe utapanda cheo
Lakini kama ameamka vibaya, hata kama utajipendekeza kwake, itakula kwako, kama alivyofanya kwa RPC wa Arusha!
Kumbe ni msabato???Huyu mzee ametudharirisha wa sabato acha wamtimue