Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kama hataki maana yake ndiyo hiyo. Hafai kuwa kiongoziYeye hataki sasa uwasiliane nae akiwa hapo, kwa nini hutaki kuheshimu msimamo wake? Hata kama nguo haijakaa vizuri, muache aibu ni ya kwake wewe unakosa nini?
Upo sahihi mkuu.Kuna watu pale ni wanausalama hata kama hakubaliani anatakiwa avunge akadili nao chamber sio hadharani vile...eti Mimi naongea unaniletea memo! As if ni ajabu kuletewa memo kiongozi akiwa anaongea....Tena ilitakiwa kama hakubaliani nayo wengine wasijue
Usalama gani..acheni visingizio, usalama wake watu wametulia kumsikiliza, ok baya likimtokea akiwa hapo muache abebe hiyo gharama ya kutotaka kusumbuliwa na vimemo ndio atajifunza..ni utamaduni mbovu, kuna mambo yamezoeleka kufanyika lakini hayafai!Sasa kama kuna kitu muhimu anakumbushwa ye anapanic tu usikute ni Kwa usalama wake ye anakimbilia kuitupa mi naona anajitunisha tu!
Kabisa Kwa mfano Rais akiingia chaka wasaidizi wake lazima wapeleke memo chap ili akiwa anaendelea kuongea afafanue vizuri. Lengo ni Rais au kiongozi asiende kuwa a laughingstock huko nje...mifano ni mingi sana hii ya kusema ufe na makosa yako sio dhama nzuri ya utendaji wa pamoja.Kwani kimemo maana yake ongea hiki? Unaweza ukawa unaambiwa nguo yako haijakaa vizuri au unakuwa updated juu ya jambo ulilolisema
Huo ni ubinafsi.Usalama gani..acheni visingizio, usalama wake watu wametulia kumsikiliza, ok baya likimtokea akiwa hapo muache abebe hiyo gharama ya kutotaka kusumbuliwa na vimemo ndio atajifunza..ni utamaduni mbovu, kuna mambo yamezoeleka kufanyika lakini hayafai!
Hicho siyo kigezo cha kupima uwezo wa mtu kiuongozi! na mtu hazaliwi kuwa kiongozi..Kama hataki maana yake ndiyo hiyo. Hafai kuwa kiongozi
Sifa kuu ya uongozi ni busaraHicho siyo kigezo cha kupima uwezo wa mtu kiuongozi! na mtu hazaliwi kuwa kiongozi..
Ubinafsi upi? Heshimu msimamo wake pia si lazima afanane na wengine.Huo ni ubinafsi.
Ndo tumeuheshimu Kwa kumshusha mabega !Ubinafsi upi? Heshimu msimamo wake pia si lazima afanane na wengine.
Kila kitu kina mahali pake huwezi kuleta kicheko penye hadhara yenye masikitiko..busara ina mahali pake kuitumia.Sifa kuu ya uongozi ni busara
Hata kukiweka pembeni kimemo na kutosema chochote kuendelea na hotuba yako ni busaraKila kitu kina mahali pake huwezi kuleta kicheko penye hadhara yenye masikitiko..busara ina mahali pake kuitumia.
Kwani alikuomba kuwa katibu mkuu? Ulivyomshusha umemuondolea elimu yake? Muogope Mungu peke yake!Ndo tumeuheshimu Kwa kumshusha mabega !
Wewe unamkosea mtu halafu unampangia kitu cha kufanya dhidi ya ulichomfanyia? Wengine hawajui kuwa wanafiki.Hata kukiweka pembeni kimemo na kutosema chochote kuendelea na hotuba yako ni busara
Tena kwenye taasisi za kijeshi huko ndiyo kwenyewe sina hamu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
kwenye hili uko vzr, kwenye mkataba wa Bandari mbona wewe umekosa busara, au wewe ndiye Maulid Kitenge?Sifa kuu ya uongozi ni busara