Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Wewe usitutamanishe,wengine tupo single ujue.
 
Ndio tulivyo wabongo
Watanzania wengi hasa vijana..
1. Hawapendi kuambiwa ukweli
2. Ni wavivu wa kufikiri na kazi pia
3. Wanapenda starehe zaidi kuliko kazi
4. Wengi wana uraibu wa kuwaza mambo ya ngono
5. Wana wivu mbaya na umimi..wanapenda na kufurahi mtu aliyewazidi kimaisha - elimu, ustawi nk anapopatwa na matatizo..
Wengi wanaoelezea kisa cha mama huyu mhandisi wana sifa hizi sbb zinaonekana unaposoma comments zao..taifa lenye watu wa aina hii linahitaji kutawaliwa kiimla kutibu hizi tabia, bila hivyo ni suala la muda tu ĺazima litaishia kuwa watumwa wa mataifa mengine.
 
Mambo mazuri wanajamvi. Nimesoma maoni yenu mpaka ukurasa wa 3 sijaona shambulizi lolote la kidini, ila kuna shambulizi moja la jinsia yake.
Hongereni sana kwa weledi wa hoja! Nitarudi baadae kufuatilia!
 
Tulisha onya juu ya wanawake kupewa Kazi na idara nyeti kuongoza lkn tukapuuzwa na kina ndugai
 
Ila utashanga atateuliwa kwingine hilo vxr akapande la mumewe
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Ungetuletea yaliyoandikwa kwenye kile ki note ningekuelewa zaidi!
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
Alikuwa na shida siku nyingi,anatetemeka wakati wa speech since kigamboni akiwa mbele ya Samia,I knew she will be screwed one day.
 
Kwanza hili limetolewa wapi. Nampongeza rais kwa umakini wake
 
Mimi mwenyewe nahisi katupiwa jini,kama sio jini huu uchawi ni kiboko,yaani amerudia kutizama hiyo clip amebaki kupigwa butwaa,haamini kama ni yeye alifanya hivyo
Maji ndio yamemwagika [emoji41]
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Utafikiri ameokotwa porini, rais anapelekewagwa nyingi tu hata juzi kwenye nane nane Mbeya alipelekewa kinote kutangaza kuwa nane nane ya mwaka ya mwaka ujao itakuwa Dodoma na akatangaza. Wengine siyo viongozi wamelazimishwa tu
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Kweli kabisa! Hastahili hata kuwa Balozi wa CCM!
 
Mm ndiye nilipeleka hicho kinoti kwa huyo mama, kiliandikwa hivi --wewe mama toka hapo kwenye podium waongee watu. Wewe huna hoja usitupotezee muda."
Inabidi na wewe ufukuzwe kazi
 
Huyo maza tunaweza kumlaumu ila jueni kwamba kwenye mawizara kuna vijitu tena wenye elimu ndog ila hawaogopi mtu yeyote na hawatishiki. Wakati waziri wa fedha akiwa Mustafa Mkullo nilikuwa mwanafunzi na field nilifanyia pale wizarani... kuna dingi mmoja ofisi yake ilikuwa Sukari House. Yule dingi alikuwa na elimu ndogo ila mkurugenzi wa idara yake alikuwa anamhanya mbaya... yule dingi anakuambia aliingia wizarani akiwa na miaka 22 na hadi umri wake wa kukaribia kustaafu hakuwahi kuhamishwa. Huyo Waziri mwenyewe alikuwa anavimbiwa mbaya mbovu na baadae nadhani alipigwa chini.
 
Usalama gani..acheni visingizio, usalama wake watu wametulia kumsikiliza, ok baya likimtokea akiwa hapo muache abebe hiyo gharama ya kutotaka kusumbuliwa na vimemo ndio atajifunza..ni utamaduni mbovu, kuna mambo yamezoeleka kufanyika lakini hayafai!
Kwa hiyo mtu akiongea nje ya muda uliopangwa asipelekewe kimemo kuwa muda umeisha labda zimewekwa dakika 30 kwa kila mtu yeye anaongea masaa 2 asiambiwe??
 
Utulivu ndio sifa ya kwanza ya kiongozi... Tukio la ugaidi 9/11 nchini Marekani, Bush alikuwa kwenye darasa la chekechea, anapewa taarifa ngumu kabisa, na bado akawa ametulia tu. Mama kapewa memo anapoteza kabisa network, haijalishi memo ina maneno gani, alipaswa kutulia na ku-deal na watu wake baadae.

Katibu mkuu ni mtu mkubwa sana, hatakiwi kuendeshwa na hisia kiurahisi vile, kukerwa kwa urahisi ni weakness mbaya sana kwa kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…