Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Hivi kwanini wengi wako hivi, nini huwa kinawasababisha kuwa hivi? Sababu hata customer service ya wahudumu wengi wa kike huwa si nzuri
Baadhi wanakuwa na stress za ndoa kuwa katika matatizo, visichana matatizo yao makubwa ni kuachwa na wapenzi na mbaya zaidi mpenzi kahamia kwa shoga yake! Ukikutana na vijitu vya aina hii ofisini utapata tabu sana.
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Usikimbilie kuhukumu bro! Ki note kilikuwa kinasemaje?
Je aliyekipereka ana cheo gani? Alitumwa na nani?
Mfano wewe kama mfanyakazi wa kawaida kwenye kampuni, huwezi kukurupuka ukapeleka ki note wakati CEO anaongea, wapo viongozi wa karibu na CEO, MD, HR,CFO, kama una ishu pitisha kwako!
Hata kwenye kampuni zetu ndogo za bongo, sio kila MTU anaweza kujiingilia kwenye ofc ya mkurugenzi, hata kama hayupo,
Mipaka lazima iwepo,
Sasa wewe boss wako anaongea, unakurupuka kumpelekea ki note!
Kwenye taasisi zetu hz, kuna wafanyakszi wana vieleele Sana,
Katibu mkuu, ni msomi, technocrat, sio politicians,
And technocrats, takes no shit from anybody
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
Ndo huna kazii unakuwa Jobless aiseee... Lakini msikosoee hujui Kile Kinote kiliandikwaa nini maana alikisoma ndo akatupa..!! Ukute walimwandikia Muda umeishaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Usikimbilie kuhukumu bro! Ki note kilikuwa kinasemaje?
Je aliyekipereka ana cheo gani? Alitumwa na nani?
Mfano wewe kama mfanyakazi wa kawaida kwenye kampuni, huwezi kukurupuka ukapeleka ki note wakati CEO anaongea, wapo viongozi wa karibu na CEO, MD, HR,CFO, kama una ishu pitisha kwako!
Hata kwenye kampuni zetu ndogo za bongo, sio kila MTU anaweza kujiingilia kwenye ofc ya mkurugenzi, hata kama hayupo,
Mipaka lazima iwepo,
Sasa wewe boss wako anaongea, unakurupuka kumpelekea ki note!
Kwenye taasisi zetu hz, kuna wafanyakszi wana vieleele Sana,
Katibu mkuu, ni msomi, technocrat, sio politicians,
And technocrats, takes no shit from anybody
Yani Mwisho wa siku Kujua kama yule mama kazingua au vipi ni Tujue KINOTE KILIANDIKWA NINI?????
 
Huyu Mama/Dada akiwa Rais si atawamaliza wasaidizi wake? Hana leadership ethics,uvumilivu 0,Aweso yupo sahihi,uongozi ni jalala,kwenye leadership kuna kupakwa shedo/make up na kupakwa pilipili/matipe ni suala la nyakati,sasa ww ukitaka nyakati zote ziwe za kupakwa shedo matokeo yake ndio hayo ya Kemikimba.
Ame-misbehave mbele ya waziri na watendaji wenzie,tena kwenye kikao kazi,binafsi sijamuonea huruma kutenguliwa
 
Kama alindikiwa Kimemo cga Kutukanwaa ndo avumilie kisaa Amepewa Cheo????
 
Kumbe hata ww hujakiona lkn unaongea as if umekiona.

Yote kwa yote huyo maza anaonesha ni kiburi na jeuri kilichompata anastahili
The issue is not about the content or context of the memo but the place and reaction after receiving it!

No matter kimemo kilikuwa na habari za kukera kwa kiwango gani; hakutakiwa ku-behave vile, pale, wakati ule, mbele ya wale!

Right things, at the right time, and right place! Amekwama kwenye Hilo.
 
Usikimbilie kuhukumu bro! Ki note kilikuwa kinasemaje?
Je aliyekipereka ana cheo gani? Alitumwa na nani?
Mfano wewe kama mfanyakazi wa kawaida kwenye kampuni, huwezi kukurupuka ukapeleka ki note wakati CEO anaongea, wapo viongozi wa karibu na CEO, MD, HR,CFO, kama una ishu pitisha kwako!
Hata kwenye kampuni zetu ndogo za bongo, sio kila MTU anaweza kujiingilia kwenye ofc ya mkurugenzi, hata kama hayupo,
Mipaka lazima iwepo,
Sasa wewe boss wako anaongea, unakurupuka kumpelekea ki note!
Kwenye taasisi zetu hz, kuna wafanyakszi wana vieleele Sana,
Katibu mkuu, ni msomi, technocrat, sio politicians,
And technocrats, takes no shit from anybody
The issue is not about the content or context of the memo but the place and reaction after receiving it!

No matter kimemo kilikuwa na habari za kukera kwa kiwango gani; hakutakiwa ku-behave vile, pale, wakati ule, mbele ya wale!

Right things, at the right time, and right place! Amekwama kwenye hilo.

Kiongozi hatakiwi kuchokozeka kijinga tena hadharani!
 
View attachment 2721390
Imbainika kuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'.

Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu Mkuu Nadhifa Kemikimba na akaamua kukatisha hatuba yake na kwenda kukaa.

Muda mfupi baadaye Waziri wa Maji alisogea kwenye Podium na kumuomba radhi Katibu Mkuu.
Dah kazingua kinona noma yaani☹️☹️☹️
 
Kama alindikiwa Kimemo cga Kutukanwaa ndo avumilie kisaa Amepewa Cheo????

Mkuu,

Kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumpelekea kijimemo cha kumtukana Katibu Mkuu.....? Si ndio umejifukuzisha kazi.....Mtu wa kawaida huwezi ingilia Hotuba kwa katibu Mkuu... Nadhani .lazima lilikuwa jambo la kiutendaji tu! Ila Mama hakutaka kuingiliwa......
 
Usikimbilie kuhukumu bro! Ki note kilikuwa kinasemaje?
Je aliyekipereka ana cheo gani? Alitumwa na nani?
Mfano wewe kama mfanyakazi wa kawaida kwenye kampuni, huwezi kukurupuka ukapeleka ki note wakati CEO anaongea, wapo viongozi wa karibu na CEO, MD, HR,CFO, kama una ishu pitisha kwako!
Hata kwenye kampuni zetu ndogo za bongo, sio kila MTU anaweza kujiingilia kwenye ofc ya mkurugenzi, hata kama hayupo,
Mipaka lazima iwepo,
Sasa wewe boss wako anaongea, unakurupuka kumpelekea ki note!
Kwenye taasisi zetu hz, kuna wafanyakszi wana vieleele Sana,
Katibu mkuu, ni msomi, technocrat, sio politicians,
And technocrats, takes no shit from anybody
Yeah... nafikiri hapo inawezekana aliona ' insubordination' ilihusika bali alitakiwa kutuliza mpira, na kutoonyesha hasira hadharani, ila angeenda ku deal na ishu hiyo baada ya kikao.....kazi kwelikweli.
 
Mkuu,

Kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumpelekea kijimemo cha kumtukana Katibu Mkuu.....? Si ndio umejifukuzisha kazi.....Mtu wa kawaida huwezi ingilia Hotuba kwa katibu Mkuu... Nadhani .lazima lilikuwa jambo la kiutendaji tu! Ila Mama hakutaka kuingiliwa......
[emoji28][emoji28][emoji28]Unamfundisha katibu mkuu cha kuongeaa...!! Anyway mama alijisahau kuwa nae kaajiriwaaa
 
Ni kweli Viongozi wengi hupelekewa vikaratasi vyenye jumbe mbalimbali lakini Nafikiri Huyo Mama Alipelekewa kikaratasi chenye Ujumbe wa Dharau ambao hakuweza Kuvumilia, Ndio Maana Akakitupa. Huyo aliye andika huweenda aliwaambia na wenzie, So Kibinadamu mtu akikuonesha Dharau mbele za Watu hutakiwi kuwa Mnyonge katika Process ya Ku react na Kujipa Confidence unatakiwa kumonesha Dharau Mara mbili ya Ile Aliyo kuonesha, Tumeona Kipindi Cha Magufuli alikuwa Hakubali mambo Ya Kijinga anamaliza pale Pale.

Je kuna mwenyewe anajua Nini Kiliandikwa kwenye Hicho Kimemo? Kosa Kubwa Ingekuwa kama Amepelekewa Kimemo hajakisoma na Kamlipua mpelekaji lakini kakisoma kaona kwa Level yake na Level ya Mtu aliyempeleka ni Kudharirishwa.

Haina Tofauti na Alicho Kifanya RC CHALAMILA KULE SOKONI [emoji120]
Kiingozi akiwa anahutubia kwenye podium lazima vimemo vyote vinapitiwa na aidha katibu wake au washauri wake na kuna mtu maalum wakumpelekea memo. Siyo mtu yeyote tuu anaweza kuandika memo na kwenda jukwaani kumkabidi kiongozi anayehutubia. Hivyo hicho kimemo kilipitia screening kwanza hadi kumfikia na kama hakina mantiki, huwa kinachanwa(hakipelekwi kwenye podium)
 
Duuh hii hatarii sanaa protocol za kiuongozii lakini aliendika pia hawezi kuwa tu mtu wa chinii akaamua kukipeleka...!
 
Back
Top Bottom