The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Duuuuh we jamaaKuna faida gani kufa na viungo vizima?
Acha watu wachakaze miili yao ipasavyo.
Unataka huo mwili unwatunzie mchwa wakale ini zima, figo nzima, mapafu mazima na moyo mzima?
Acha watu wamwagilie moyo, mwili uishe kabisa.
Hata ukitunza sana afya ufike miaka 100, Huta enjoy chochote huko uzeeni zaidi ya upweke na kusubiri kifo.Duuuuh we jamaa
Ni vzr sasa ukamuamini Mungu na ukarudi kwake.Hata ukitunza sana afya ufike miaka 100, Huta enjoy chochote huko uzeeni zaidi ya upweke na kusubiri kifo.
Kwa hiyo acha watu wai enjoy life now.
Wakunywa Pombe wanywe, wakupeleka moto mbususu🍑 wapeleke, wakusafiri dunia wasafiri.
Either you eat healthy or unhealthy, Life ends to everyone.
Hakuna faida ya kuishi duniani kwa kujinyima nyima, wakati muda wa kuishi hapa ni mchache.
Kuna watu wametunza sana afya zao, wanakuja kupata Kansa ghafla bin vuuuh! Wengine ajali za ghafla wanakufa.
Shida umekimbilia kufa ujawaza pale mtu anapoumwa na jinsi anavyotesekaKuna faida gani kufa na viungo vizima?
Acha watu wachakaze miili yao ipasavyo.
Unataka huo mwili uwatunzie mchwa wakale ini zima, figo nzima, mapafu mazima na moyo mzima?
Acha watu wamwagilie moyo, mwili uishe kabisa.
Yani siku unakufa, Viungo vyote vimefeli.
Damu imechafuka, mapafu yamejaa moshi wa Ganja, Ini limechakaa Pombe, Figo zimekwisha kabisa.
OhooooKuna faida gani kufa na viungo vizima?
Acha watu wachakaze miili yao ipasavyo.
Unataka huo mwili uwatunzie mchwa wakale ini zima, figo nzima, mapafu mazima na moyo mzima?
Acha watu wamwagilie moyo, mwili uishe kabisa.
Yani siku unakufa, Viungo vyote vimefeli.
Damu imechafuka, mapafu yamejaa moshi wa Ganja, Ini limechakaa Pombe, Figo zimekwisha kabisa.
Hata ukimwamini Mungu utakufa tuNi vzr sasa ukamuamini Mungu na ukarudi kwake.
Kiburi,jeuri havizuii kifo kumbe
Unakuta mtu tangu anazaliwa hadinanagonga 50 bado ana hustle bado anajinyima eti kwa ajili ya baadae, huyu ana akili kweli? Baadae ipiHakuna faida ya kuishi duniani kwa kujinyima nyima, wakati muda wa kuishi hapa ni mchache.
Mungu anasema kupitia maandiko matakatifu maisha ni mafupi,maisha ya milele yapo baada ya kifo.Hata ukimwamini Mungu utakufa tu
Mwachie ajifiei mwenyewe kama ni kwa uzembe Wake tatizo tunajifanya tuna Huruma Sana, mtu anabugia mapombe na anajua ni hatari kwa afya, harafu natokea Mbugila mmoja hivi eti anamuonea Huruma akishaumwa maini.Shida umekimbilia kufa ujawaza pale mtu anapoumwa na jinsi anavyoteseka
Na hapo hakuna wa. Kumsaidia kwenye mahitaji ambayo ilibidi ayapambanie mwenyewe ila ugonjwa ukamkatili
Watu wamekuwa wakifariki tangy Ulimwengu huu Unaumbwa, Ndugu unaweza kuniambia Nani ameshafika huko kwenye Maisha ya Milele au wameozea Ardhini Tu? Kwanza huko Milele ni wapi? Nani alishaenda akapaona akarudi kukusimulia? Hata Yesu alivyofariki Alisema anaenda Kwa Baba Hadi Leo hakurudi na yamkini asirudi kabisaMungu anasema kupitia maandiko matakatifu maisha ni mafupi,maisha ya milele yapo baada ya kifo.
Tumtumainie yeye ili baada ya kifo tuishi milele kwa starehe
Sasa ndiyo maana halisi ya Uzi wa mtoa mada Kwamba hatukatai kuwa tunatumia ila iwe kwa kiasi piaMwachie ajifiei mwenyewe kama ni kwa uzembe Wake tatizo tunajifanya tuna Huruma Sana, mtu anabugia mapombe na anajua ni hatari kwa afya, harafu natokea Mbugila mmoja hivi eti anamuonea Huruma akishaumwa maini.
Huyo Mungu akiaminiwa anafaidika nini?Ni vzr sasa ukamuamini Mungu na ukarudi kwake.
Kuna sehemu nimesema kiburi na jeuri vinazuia kifo?Kiburi,jeuri havizuii kifo kumbe
HahahUmewahi kunywa mixer ya sminorff vodca+azam energy+ ice cubes?
Mtu akinywa energy drink chupa tano kwa siku, Wewe ana kukwaza nini?Sasa ndiyo maana halisi ya Uzi wa mtoa mada Kwamba hatukatai kuwa tunatumia ila iwe kwa kiasi pia
Sasa mtu anakunywa energy drink chupa tano kwa siku au pombe kal mpaka anapitiliza
Hajakwaza mtu mjomba ila ukweli ni kuwa hao wanaokunywa wengine ndugu zetu tunateseka nao hospital hukuMtu akinywa energy drink chupa tano kwa siku, Wewe ana kukwaza nini?
Pesa yake, afya yake, mwili wake.
Wewe unaumia nini, mtu akinywa Pombe kali kupitiliza?
Eti Bwana ni Sawa na Mwanamke aliyefanya kuwa Malaya, baadae akipata Ukimwi au akizalishwa na kuachwa hayakuhusu, Muhimu deal na mambo yako tuache kupangianaMtu akinywa energy drink chupa tano kwa siku, Wewe ana kukwaza nini?
Pesa yake, afya yake, mwili wake.
Wewe unaumia nini, mtu akinywa Pombe kali kupitiliza?