Video: Jinsi Energy drinks zinavyo chakaza mwili na kuua nguvu za kiume mazima.

Video: Jinsi Energy drinks zinavyo chakaza mwili na kuua nguvu za kiume mazima.

Issue sio kufa coz death is innevitable,

Issue ni kuteseka na maradhi,kwani watu hua wanaenda Hospitali ili kukizuwia kifo?

Mtu anatibiwa ili awe na afya njema,maradhi ni mateso,

Bila kua na afya njema basi kila kitu hapa Duniani utakiona ni cha hovyo na hakina thamani wala maana kwako.
 
Hajakwaza mtu mjomba ila ukweli ni kuwa hao wanaokunywa wengine ndugu zetu tunateseka nao hospital huku

Inabidi uelewe Hilo maana tunajua kwenye kubisha Upo smart sana
Mkuu hapa sio swala la kubishana, Acha kujipa headache, Sawa ni Ndugu yako lakini alipokuwa anakunywa si alijua ni simu? Tena kumshauri aache anakuona wewe mijinga, sasa kwanini useme kwamba anakutesa anapoumwa hospitalini? Mwachie apambane kama anakufa afe tu
 
Mwachie ajifiei mwenyewe kama ni kwa uzembe Wake tatizo tunajifanya tuna Huruma Sana, mtu anabugia mapombe na anajua ni hatari kwa afya, harafu natokea Mbugila mmoja hivi eti anamuonea Huruma akishaumwa maini.
Kila kinywaji ukiacha hivi locals vya mtaani kama Chang'aa, Piwa, Gongo, Wanzuki, Ulanzi, Dadii, Mbege, Banana.

Vinywaji vingine vimewekwa maonyo na tahadhari, pia kuna kiwango cha kilevi.

Sasa kama mtu anapuuza maonyo yote hayo, ina maana haitaji kushauriwa. Anajua anachokifanya.

Kwa hiyo acha watu wanywe.

Maadam! Hawavunji sheria ya nchi ni uhuru wao kunywa lita watakazao.
 
Mkuu hapa sio swala la kubishana, Acha kujipa headache, Sawa ni Ndugu yako lakini alipokuwa anakunywa si alijua ni simu? Tena kumshauri aache anakuona wewe mijinga, sasa kwanini useme kwamba anakutesa anapoumwa hospitalini? Mwachie apambane kama anakufa afe tu
Au sio
 
lakin tahadhari muhimu
Kila kinywaji ukiacha hivi locals vya mtaani kama Chang'aa, Piwa, Gongo, Wanzuki, Ulanzi, Dadii, Mbege, Banana.

Vinywaji vingine vimewekwa maonyo na tahadhari, pia kuna kiwango cha kilevi.

Sasa kama mtu anapuuza maonyo yote hayo, ina maana haitaji kushauriwa. Anajua anachokifanya.

Kwa hiyo acha watu wanywe.

Maadam! Hawavunji sheria ya nchi ni uhuru wao kunywa lita watakazao.i ta
 
Mtu akinywa energy drink chupa tano kwa siku, Wewe ana kukwaza nini?

Pesa yake, afya yake, mwili wake.

Wewe unaumia nini, mtu akinywa Pombe kali kupitiliza?

nimecheka sana maswali yako na ushauri wako, nimekukubali sana

yaani utakuta mtu anaumia au anamwongelea mwenzake kwa masikitiko wakati ya kwake yanamshinda

mtizamo wako ndio maisha nnayo ishi, sina rafiki mbeya wala mnafik wala mjuaji wa kuhukumu wenzie
 
Hajakwaza mtu mjomba ila ukweli ni kuwa hao wanaokunywa wengine ndugu zetu tunateseka nao hospital huku.
Mtu kama alishaonywa vya kutosha, punguza Pombe, Acha Pombe hasikii.

Huyo ni kuachana nae. Akiumwa afe kivyake.

Dokta Janabi kila mara anatoa ushauri kwa watanzania ila watu wanamchukulia poa.

Sasa watu wa namna hii wakianza kuumwa Hawahitaji Huruma ya aina yoyote ile.

Ni kuwaacha wafe, maana madhara waliyajua na wakayapuuza.

Kama mtu anapuuza madhara ya kitu, akipata madhara hayo, akafie mbele tu. Asianze kusumbua watu.
Inabidi uelewe Hilo maana tunajua kwenye kubisha Upo smart sana
 
salaam,

Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini

huenda lile neno ya kwamba watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa linatimia kwa namna hiyo pia gentleman, ukiachana na ile ya style ya kubebwa ufala wa kifikra ili kushiriki maandamano haramu ya kigaidi ya kuangamiza kilofa zaidi 🐒
 
nimecheka sana maswali yako na ushauri wako, nimekukubali sana

yaani utakuta mtu anaumia au anamwongelea mwenzake kwa masikitiko wakati ya kwake yanamshinda

mtizamo wako ndio maisha nnayo ishi, sina rafiki mbeya wala mnafik wala mjuaji wa kuhukumu wenzie
Watu si kwamba hawajui energy drinks zina Madhara.

Watu si kwamba hawajui uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya.

Watu si kwamba hawajui unywaji wa Pombe kupitiliza ni hatari kwa afya.

Wanaju vizuri sana. Na kila siku madaktari wanaimba kama wimbo. Punguzeni Pombe! Punguza uvutaji wa sigara! Punguza! Punguza!!

Sasa kama kila mtu anajua, Kwa nini wewe uanze kuumia kwamba fulani ni mlevi sana, ndugu yangu ni mlevi sana.

Hakuna haja ya kujipa stress na maisha ya mtu.

Watu wajifunze KUWAACHA watu waishi maisha yao vile wamechagua. Maadam! Hawadhuru mtu na hawavunji sheria.
 
Mtu kama alishaonywa vya kutosha, punguza Pombe, Acha Pombe hasikii.

Huyo ni kuachana nae. Akiumwa afe kivyake.

Dokta Janabi kila mara anatoa ushauri kwa watanzania ila watu wanamchukulia poa.

Sasa watu wa namna hii wakianza kuumwa Hawahitaji Huruma ya aina yoyote ile.

Ni kuwaacha wafe, maana madhara waliyajua na wakayapuuza.

Kama mtu anapuuza madhara ya kitu, akipata madhara hayo, akafie mbele tu. Asianze kusumbua watu.
tatizo watu wabishi
 
Back
Top Bottom