Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sijaona madhara ya kuniumiza hapoumeona madhara yaliyoainishwa hapo mkuu
Sijaona madhara ya kuniumiza hapoumeona madhara yaliyoainishwa hapo mkuu
Starehe ipi mkuu, hii ya kusifu na kuabudu saa 24?Mungu anasema kupitia maandiko matakatifu maisha ni mafupi,maisha ya milele yapo baada ya kifo.
Tumtumainie yeye ili baada ya kifo tuishi milele kwa starehe
Nguvu za kiume ni kitu kisichoweza kuishaumeyaona madhara yaliyoaieishwa mkuu
hapa vasocontriction haikuumiziSijaona madhara ya kuniumiza hapo
tatizo watu wabishiIssue sio kufa coz death is innevitable,
Issue ni kuteseka na maradhi,kwani watu hua wanaenda Hospitali ili kukizuwia kifo?
Mtu anatibiwa ili awe na afya njema,maradhi ni mateso,
Bila kua na afya njema basi kila kitu hapa Duniani utakiona ni cha hovyo na hakina thamani wala maana kwako.
Pombe ina faida zake mwilini na kijamiiAsante Mungu kwa Kunipa Akili na Utakatifu.
Sijafika Hata 32.
1. Sijawahi kunywa pombe.
2. Sijawahi kunywa Energy.
3. Sijawahi kuvuta Sigara.
4. Sijawahi kutembea na Kahaba.
5.Sijawahi kucheza Kamali Yoyote.
6. Sijawahi Kubeti.
7.Niliacha Soda miaka 10 iliyopita.
8. Sijawahi kupiga Punyeto.
10. Niliacha kunywa chai asubuhi (nakunywa Supu, maharage, Choroko, ugali Ndizi Magimbi nk.
Salio halijatosha? Jiunge na BUSTISHA kukamilisha miamala yako ya mpaka Tsh 500,000.00. Bonyeza 1 kujisajili na kukubali vigezo na masharti: https://bit.ly/3VhCnVzKuna faida gani kufa na viungo vizima?
Acha watu wachakaze miili yao ipasavyo.
Unataka huo mwili uwatunzie mchwa wakale ini zima, figo nzima, mapafu mazima na moyo mzima?
Acha watu wamwagilie moyo, mwili uishe kabisa.
Yani siku unakufa, Viungo vyote vimefeli.
Damu imechafuka, mapafu yamejaa moshi wa Ganja, Ini limechakaa Pombe, Figo zimekwisha kabisa.
Now this is your life enjoy it.Asante Mungu kwa Kunipa Akili na Utakatifu.
Sijafika Hata 32.
1. Sijawahi kunywa pombe.
2. Sijawahi kunywa Energy.
3. Sijawahi kuvuta Sigara.
4. Sijawahi kutembea na Kahaba.
5.Sijawahi kucheza Kamali Yoyote.
6. Sijawahi Kubeti.
7.Niliacha Soda miaka 10 iliyopita.
8. Sijawahi kupiga Punyeto.
10. Niliacha kunywa chai asubuhi (nakunywa Supu, maharage, Choroko, ugali Ndizi Magimbi nk.
Kujikweza tu… nyoko 😒Asante Mungu kwa Kunipa Akili na Utakatifu.
Sijafika Hata 32.
1. Sijawahi kunywa pombe.
2. Sijawahi kunywa Energy.
3. Sijawahi kuvuta Sigara.
4. Sijawahi kutembea na Kahaba.
5.Sijawahi kucheza Kamali Yoyote.
6. Sijawahi Kubeti.
7.Niliacha Soda miaka 10 iliyopita.
8. Sijawahi kupiga Punyeto.
10. Niliacha kunywa chai asubuhi (nakunywa Supu, maharage, Choroko, ugali Ndizi Magimbi nk.
This kind of fallacy is called red herring.Salio halijatosha? Jiunge na BUSTISHA kukamilisha miamala yako ya mpaka Tsh 500,000.00. Bonyeza 1 kujisajili na kukubali vigezo na masharti: https://bit.ly/3VhCnVz
Ndo nn hy?hapa vasocontriction haikuumizi
Wewe ni expected members,tunakusoma kwny mada mbalimbali.Huyo Mungu akiaminiwa anafaidika nini?
Huyo Mungu asipoaminiwa, anapungukiwa nini?
Huyo Mungu yupo so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?
Kuna sehemu nimesema kiburi na jeuri vinazuia kifo?
Unasoma na kuelewa kilicho andikwa?
Au unajitungia maneno yako ambayo hata sikuyasema?
Una uhakika gani hujawahi kutembea na kahaba?4. Sijawahi kutembea na Kahaba.
Peponi kwa MunguWapi huko mkuu na mm nataka kuja
Uliwah kufika? Au nani aliwahi kufika huko?Peponi kwa Mungu
Kusifu na kuabudi hiyo tunafanya sasa tukiwa Bado wazima wa afya.Starehe ipi mkuu, hii ya kusifu na kuabudu saa 24?
Sijawahi kufika.Uliwah kufika? Au nani aliwahi kufika huko?
Nataka unithibitishie uwepo wa hy pepo
Maandiko ndio uthibitisho?Sijawahi kufika.
Nikuthibitishie kupitia maandiko?